Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

magari ya kwenda dar, morogoro, mbeya nayo yagome.

pia inakiwa pale kwa mrefu kwenye matuta mawe makubwa yapangwe. Hiyo itakuwa safi, mesent sent.

machalii wa arusha mpooo, aminiaaa

fanyani kweli hawa magamba wasitutishe, wananchi wanaitwa panya bwana!!!
 
Mimi naomba mgomo ufanyike mwezi mzima tuone na wenye pikipiki jioni wanataka hesabu zao
 
magari ya kwenda dar, morogoro, mbeya nayo yagome.

pia inakiwa pale kwa mrefu kwenye matuta mawe makubwa yapangwe. Hiyo itakuwa safi, mesent sent.

machalii wa arusha mpooo, aminiaaa

fanyani kweli hawa magamba wasitutishe, wananchi wanaitwa panya bwana!!!

Yagome kwa sababu ya Lema?
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
 
Yagome kwa sababu ya Lema?
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Mimi naomba mgomo ufanyike mwezi mzima tuone na wenye pikipiki jioni wanataka hesabu zao
Tusiangalie tu kwa hesabu za matajiri wao..tuangalie uchumi wetu kwa ujumla. Hii tusiichukulie kirahisi, ni issue ambayo ina impact kubwa sana kwenye uchumi.
 
Tuneshapoteza ndugu zetu kwa sababu ya maamuzi ambayo sisi wenyewe tulijona kuwa siyo sahihi. Kwanini tena tuendelee kuwaumiza wengine? Halafu wengi mnaojidai kuhamasisha mgomo, ni watu wa maofisini na kesho mtakuwa mnaomba updates ya kinachojiri huko. yaelekea mnapenda sana kuona watanzania wenzetu wakiumia.
Nitolee nye$%$£ zako hili ni gari kubwa.
 
Mimi binafsi niliwahi kusema humu jamvini juu ya R.T.O Wa Arusha kuniweka maabusu bila dhamana wala kutoa maelezo sbb ya kosa la wrong parking.Kesho nimewaagiza madereva wangu wasiamshe gari hata moja.Nnapinga kudhalilishwa utu wangu,kamwe siwezi kumsahau.
 
Nasubiri kwa hamu kuona itakavyokua. Lakini njaa mbaya! Wenzenu wa misri na libya walikua wanagawa lunch box , walijiandaa
 
We kalumekenge! Undoa upupu wako humu kazi kuchafua hali ya hewa tu. Utakuwa mtumwa wa sisiem mpk lini watu kama wewe humu ndani mnahesabika utafikiri ndiyo wazawa wa mwaka 1927 wajinga wakubwa na kundi lako lote na mnaojuna.
Mimi ni mwanachama halali wa CDM.
Tunapokesea kama chama inabidi tukubali kukosolewa na kujisahihisha.
 
nyie mnaongangana kujibizana na facebook mnapoteza mda bure na msipokuwa makini ban inawahusu...
 
Na wewe unaona ni sahihi watu kugoma tuende kumlili mtu aliyejipeleka gerezani mwenyewe?
We have to admit kwa hili Lema amechemka

At last, you're showing your true colours.-Kibaraka. Hakuna mtu analazimishwa kugoma. Watu wa Arusha wanagoma kwa sababu Polisi wamegeuka kuwa 'terrirists' badala ya kulinda usalama wa raia na mali zao. Hii ni kinyume kabisa na katiba ya nchi na miiko/kanuni za sheria za kazi za ki-polisi.
"If you have nothing to fight for then you have nothing to live for". Lema ameenda Kisongo (gerezani) kuenesha kwa mfano kile anachosimamia - haki kwa kila raia. Wewe unasimamia nini kama sio kuhuburi uchuro?

Unaandika 'sahihi' unajua maana ya neno sahihi? In your right mind ni sahihi kwa askari kubambikizia raia kesi? Ni sahihi kukamata watu kwa sababu wanatembea kwa miguu wakati wengine wanapewa ulinzi kwa kufanya kitendo hicho hicho tena na zaidi (mkutano wa hadhara wa UVCCM-Arusha haukuwa na kibali cha polisi). Kwako ni sahihi kwa polisi kuuwa raia wasio na hatia na bado wakaendelea kama hakuna kilochotokea? Nikuulize facebook ni sahihi kwa OCD kuita raia 'panya'? Umekazana kuandika kwenye thread ukikatisha watu tamaa ili wasiendelee na harakati za kupinga huu unyama unaofanywa na vyombo vya dola mara unajidai unaunga mkono mabadiliko mara unageuka na kuponda watu. Unafiki!
 
I'm not worried about anything. I'm
not fearing any man. Mine eyes have seen
the glory of the coming of the Lord.

By martin luther king jr.

Mwanakili90.
 
kwanini wanachadema tusitafute njia nzuri ya kupata suluhisho la hili jambo? tunataka kupoteza tena wenzetu? Tusipende kumwaga damu kwa jambo lisilokuwa na Msingi. kama Mh Lema kaamua kwenda gerezani, tumwache apumzike huko, sisi huku tuendelee kukijenga chama!

hakuna tena muda wa kuskilizia..
damu itayomwagika kesho haitajenga tu chama bali utakuwa mwanzo wa Tanzania mpya..
 
Huu ni mpango mzuri, naunga mkono mgomo huu wa ukombozi. Nguvu yetu sisi wanyonge ni Umoja. Nawaomba wanyonge wote tuonyeshe mshikamano ili safari ya ukombozi wa nchi yetu iendelee.
 
Yagome kwa sababu ya Lema?
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

mI NDO wala cjaelewa msingi wa mgomo wenyewe! Mara kumuunga mkono Lema, mara OCD kaita wananchi wa arusha panya, mara katiba cjui kufanya nini cjui!!! am afraid mwaka hii nchi yakitokea machafuko basi maxnello na wenzake watakuwa ni miongoni mwa walengwa wa Ocampo!
 
Mtu kajipeleka mwenyewe mahakamani halaf watu vihelehele ati wanagoma.sasa wanamgomea nani?.Tuzungumze ukweli tukiambiwa chagueni wabungë wa CCM tunakuwa na viburi,sasa hawa wehu tunaona madhara yake.tangu tumchague huyu jamaa hapa Arusha amekuwa kituko.hajafanya lolote la kutuletea maendeleo zaidi ya migogoro na vifo.tunamshukuru AFANDE ZUBERI kumdhibit la sivyo wizi wa magari ungekua umetamalaki hapa Arusha.
 
Ilikuonyesha kumuunga mkono kamanda Godbless Lema, madereva wa daladala na Toyo kesho wataanza mgomo hapa Arusha....

=======


Hivi tangu wale CHADEMA wawaue wale vijana wawili, familia zao zikoje ? au ndo yameishia hapo? Wengine wameshajipatia umaarufu na imetoka. Nadhani sasa watu wa arusha mmeshatambua kuwa watu wanajipatia umaarufu kupitia damu zenu. Msikubali kuvunja sheria za nchi kwa ajli ya kuwapa umaarufu wachache
 
Last edited by a moderator:
Yaani kweli wewe haufai. Yaani kweli unategemea watu wafanye upuuzi huo kwa maneno yako ya mtaani hayo Unaita watu machalii. usipoteze mda wako bure.
 
Watanzania wenzangu,

Ni kwa nia njema kabisa naomba kueleweka kwamba ni hekima na busara kuweka U-tanzania kwanza kabla ya Chama. Hapa napenda kuongea kama mtanzania na wala si mwana CCM ama mwana CDM.


Ni vyema tukajua asili, lengo, nia ya kitu kabla ya kukifanya ama kukishabikia. Kama watanzania wapenda amani tunajua nini maana ya mgomo huo unaotarajiwa kufanywa kesho?, kwa faida ya nani?.

Ndugu zangu tuwe makini sana na tutafute ukweli kwa mapana na marefu kabla ya kushabikia mambo. Kwa upande wangu nisingependa hayo yatokee kwani kuna njia mbadala ya kutatua hili tatizo. Na nikiangalia kwa undani zaidi naona Watanzania tunasukumwa kuanza vita ya wenyewe kwa wenyewe kwa faida ya watu wachache wenye uchu na uroho wa madaraka kwa kupata msaada wa mataifa makubwa ya magharibi.
Tuwe makini ndugu zangu, tuelewe nini lengo na nia ya chama unachoshabikia, nani anatoa fedha za kukiendesha chama hicho na kwa sababu gani. Tuna madini lukuki ndani ya nchi yetu, nchi za magharibi zinayatamani sana hivyo tusipokuwa makini tutajikuta tunapiganishwa wenyewe kwa wenyewe kwa faida ya hayo mataifa makubwa ya magharibi yanayotoa hayo mapesa kwa lengo la kuleta machafuko ndani ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom