Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Hata kama unakaa njiro unalazimishwa kupanda gari ya kwenda mbauda eti hawataki kuona mtu mjini, Arusha kwasasa ni vurugu tupu. Watajuta kupindisha ukweli na hili ni onyo kwa watawala
Natamani ningekuwepo A-town nione mshenzi atakaye nilazimisha kupanda dd.... Hao polisi hovyo kabisa, wao wapo kulazimisha wakutu kupanda daladala au kulinda hali ya usalama eneo hilo?