Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

Mabadiliko ya Tz yataanzia Arusha
Kama ya Martin Luther King "I have a dream"yalikuja hudhihirika.... Tunasubiri na haya ya Lema na wanaharakati wengine...

Promises are like babies, easy to give hard to deliver
 
Mkuu wala usipate taabu nina uhuru wa kuanzisha threads nyingi nitakavyo.Kuna moja nilianzisha mods wakaichakachua sasa ulitegemea nifanye nini.Hivi na wewe haupo upande wowote duh JF ina vituko tangu lini umeamua kuvua magwanda ?.

Ngongo Masaburi,

Leo umeanzisha THREADS ngapi humu kuonyesha hali ni shwari Arusha?.

Niamini, kama upo kazini basi hiyo kazi huiwezi, maana unajichanganya na unapoteza credibility yako humu. Kaa kimya tu kama sie tusiokua na upande wowote.

Alamsik
 
Heshima kwenu wanabodi.

Jeshi la polisi mkoani Arusha limerejesha usafiri wa daladala katika hali ya kawaida baada ya wamiliki na madereva wa daladala kuhakikishiwa usalama wa magari yao na abiria.Daladala nyingi ziliingia kwenye mgomo kwa kuogopa kuharibiwa na wapiga debe na bodaboda.

Nalipongeza jeshi la polisi kwa hatua walizochukua ila nawapa lawama kidogo kwa kuchelewa kuchukua hatua hizo mapema.

Ngongo unakiherehere kama kuku! Kumbe una akili za kuunga unga! umeshasahau kuwa ulipost thread kutuhabarisha kuwa ule Mgomo wa Dala dala, taxi na bodaboda Umeshindwa kufanyika kama ilivyotarajiwa?

Unaboa sana!
 
mkuu Ngongo

unajishushia hadhi yako hapa JF

sikutarajia kabisa
 
Napendekeza Arusha ijitenge na Tanzania! Ni bora Tujitangazie Uhuru wetu tumechoka kunyanyaswa!
 
Unanishangaza sana hii si kawaida yako leo umekuwa fair sana.

siku zote huweka ukweli kwasababu najua heshima iliyo nayo jf..tatizo lako umejaa chuki na unafiki zidi ya chadema hasa lema...
 
We una kiherehere kama nguruwe pori.

Unataka kujifanya hujui daladala zilifanyakazi kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa tatu na nusu bila shida yoyote.Baada ya huo muda vibaka na wapiga debe kwa Interest zao wakawatisha madereva wa daladala ndiyo hali ya usafiri ikawa mbaya.Polisi wameingilia mchakato wa wahuni hali ya usafiri ni shwari muzeeee acha jazba.

Ngongo unakiherehere kama kuku! Kumbe una akili za kuunga unga! umeshasahau kuwa ulipost thread kutuhabarisha kuwa ule Mgomo wa Dala dala, taxi na bodaboda Umeshindwa kufanyika kama ilivyotarajiwa?

Unaboa sana!
 
Napata kinywaji Jabulani Park muda huu daladala za Sekei zinafanyakazi kama kawaida zipo nne kwenye foleni zina subiri abiria hakuna polisi hata mmoja.
Hapo Jabulan near to play group unaona daladala kwa darubini au unazani tupo ushagoo??
 
Mkuu LAT siungi mkono mgomo kwasababu hauna uhusiano wowote na Godbless Lema kukaa gerezani badala yake unawatesa watumiaji wa usafiri wa daladala ambao kwa kiasi kikubwa ni watu wa kipato cha chini na kipato cha kati.

Kama Lema angenyimwa dhamana hakika nisingepinga njia zozote kwa nia ya kushinikiza serekali imwachie huru lakini jamaa kaamua kwa hiyari yake mwenyewe kukataa dhamana tunakimbilia mgomo.

Afadhali tungeshinikiza mashangingi ya serekali yasionekane barabarani kuliko kukimbilia usafiri wa wanyonge.

Hadhi ya JF ya kuunga mkono ujinga kwa kweli siitaki kabisa.LAT hata kwa jambo dogo kama hili unashindwa kupambanua ?.

mkuu Ngongo

unajishushia hadhi yako hapa JF

sikutarajia kabisa
 
Napata kinywaji Jabulani Park muda huu daladala za Sekei zinafanyakazi kama kawaida zipo nne kwenye foleni zina subiri abiria hakuna polisi hata mmoja.

Mkuu Ngongo,
Wewe kati ya watu makini sana humu JF.
Nakuheshimu sana kwa kuwa mkweli na muwazi..

Kwa hiyo Arusha hakuna mgomo wowote?
 
Ngongo Masaburi,

Wanaonijua kimaandishi humu wapo wachache na ni wakongwe wa kuchangia kwenye internet kupitia forums mbalimbali. Angalia nilijiunga lini humu.
Heshima yangu ipo pale pale, mie sio Magwanda wala magamba. Kwa ukweli sizichukii zote na sizipendi pia hivyo vyama.
Mie naamini kwenye UTAWALA WA WATU. Kwakua huelewi basi angalia mfano wa utawala wa Kiswiss.

Wewe ndo unahangaika.
 
Mkuu Ritz.

Hapakuwepo na mgomo wa daladala kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa nne kasoro wahuni walipoanza kuwatisha madereva wa daladala hali ya usafiri ikawa mbaya jeshi la polisi likaingilia kati kuanzia saa saba mchana mpaka muda huu mambo shwari usafiri umerejea katika hali yake ya kawaida.

Mkuu Ngongo,
Wewe kati ya watu makini sana humu JF.
Nakuheshimu sana kwa kuwa mkweli na muwazi..

Kwa hiyo Arusha hakuna mgomo wowote?
 
Napata kinywaji Jabulani Park muda huu daladala za Sekei zinafanyakazi kama kawaida zipo nne kwenye foleni zina subiri abiria hakuna polisi hata mmoja.

Jabulani sikuhizi wanauza gongo?
 
Huyu OCD nataka kumuona tu sura yake,jamani mwenye picha yake atowekee humu tumjue,maana ujinga anaoufanya umepitiliza

kama uko arusha kama ulisha wahi kuona polisi mwenye matakako makubwa basi ndiyo yeye...au tauta kweye youtube vurugu za arusha utamuona anagomba na lema..
 
Mkuu LAT siungi mkono mgomo kwasababu hauna uhusiano wowote na Godbless Lema kukaa gerezani badala yake unawatesa watumiaji wa usafiri wa daladala ambao kwa kiasi kikubwa ni watu wa kipato cha chini na kipato cha kati.

Kama Lema angenyimwa dhamana hakika nisingepinga njia zozote kwa nia ya kushinikiza serekali imwachie huru lakini jamaa kaamua kwa hiyari yake mwenyewe kukataa dhamana tunakimbilia mgomo.

Afadhali tungeshinikiza mashangingi ya serekali yasionekane barabarani kuliko kukimbilia usafiri wa wanyonge.

Hadhi ya JF ya kuunga mkono ujinga kwa kweli siitaki kabisa.LAT hata kwa jambo dogo kama hili unashindwa kupambanua ?.

Haya maneno ni ya ujenzi, ni kweli kabisa kwani Lema nani kampeleka gerezani? Kuna vitu vya msingi watu wanaweza kuungana kufanya mgomo..

Tugome kupinga kushuka kwa shilingi yetu, tugome hospitali hazina madawa, tugome kupanda kwa bidhaa..

Sio tugome sababu Lema kakataa kukubali dhamana ambayo ni haki ya mshtakiwa
 
Napendekeza Arusha ijitenge na Tanzania! Ni bora Tujitangazie Uhuru wetu tumechoka kunyanyaswa!

Rais atakuwa Lema, makamu wa rais atakuwa Crashwise, Waziri mkuu LAT

Spika wa Bunge atakuwa PakaJimmy.

Hakuna kulipa kodi ni maandamano kila kukicha
 
Mtu kajipeleka mwenyewe mahakamani halaf watu vihelehele ati wanagoma.sasa wanamgomea nani?.Tuzungumze ukweli tukiambiwa chagueni wabungë wa CCM tunakuwa na viburi,sasa hawa wehu tunaona madhara yake.tangu tumchague huyu jamaa hapa Arusha amekuwa kituko.hajafanya lolote la kutuletea maendeleo zaidi ya migogoro na vifo.tunamshukuru AFANDE ZUBERI kumdhibit la sivyo wizi wa magari ungekua umetamalaki hapa Arusha.

wazaramo wanasema kalaghabao
 
Back
Top Bottom