Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Hata kama unakaa njiro unalazimishwa kupanda gari ya kwenda mbauda eti hawataki kuona mtu mjini, Arusha kwasasa ni vurugu tupu. Watajuta kupindisha ukweli na hili ni onyo kwa watawala
Hata kama unakaa njiro unalazimishwa kupanda gari ya kwenda mbauda eti hawataki kuona mtu mjini, Arusha kwasasa ni vurugu tupu. Watajuta kupindisha ukweli na hili ni onyo kwa watawala
Hata wetu umekufikia ndio maana umejibu, inaonekana leo hujalala unahaha kubadilisha thread mitaani sijui unatembea na desktop au laptop maana unaonekana hutumii mobile kupost. Lema atakuua kwa presha relax na usisahau kumchukua mama Tengeru.Tatizo lenu kubwa mnataka kusikia mnayopenda msiyoyapenda kwenu nuksa ujumbe umefika.
magari yanafanyakazi na stand nimefika ingawa magari si mengi lakini yapo hasa ya usa...
Mh ngongo hongera,kote uko unatembea na computer yako? Umeamua kuwa journalist maana thread yako imetumwa kupitia computer nasiyo mobile,hongera sana.
Polisi wameamua kulazimisha watu kupanda Dala dala na kuwa lazimisha madereva wa dala dala kuendesha dala dala, ila madereva wengi wamekataa na kukimbia kuacha dala dala standa,kuna deffender kama 60 za polisi kwa sasa mjini.vijana zaidi ya 30 wamekamatwa wapo ndani.
Kwa nini tusieleze ukweli uliopo Arusha kulikokudanganyana?
That's true people don't trust you any more CHANGE.Bora useme wewe wengine tukisema tunaambiwa waongo.
ukweli ni kwamba madereva wamegawanyika kunawanaofanya kazi na kunao waliogoma lakini mida ya saa nne wanaofanya kazi walizidiwa ndipo polisi wakaanza kuwakama waliokuwa wanashawishi kugoma..