Arusha kumekucha

HII INIMEIPATA SASA HIVI TOKA KWA MDAU YUKO PALE MIANZINI

Wana JF huku Arusha hali ni tete baada ya madereva wa vifodi kugoma wakishinikiza mbunge wao aachiliwe huru na OCD Ars ahamishwe. Askari mmoja wa FFU kapigwa kajeruhiwa vibaya mno kwenye purukushani. Kituo cha vifodi kiko kitupu na barabarani hakuna kifodi hata kimoja, peoles are matching to and fro different areas.

Wewe Mzee wa Rula si ulisema daladala zipo na wanafunzi kutembea asubuhi kuzagaa ni kawaida.
Umeamua kubadilika?

Hali ni mbaya ya usafiri Arusha? tick yafuatayo:
  • Kidogo
  • Si kwa sanaa
  • Kiasi
  • Ni mbaya
  • Si mbaya
  • Kawaida
 
Mnatuchanganya tuu...mara wamegoma, mara hawajagoma! Halafu kituko sasa watu wanaobishana wote washabiki wa CCM na Chadema....kwani huu mgomo unahusu chama? Watu wamedhani mbunge na wanaArusha hawatendewi haki na polisi....waendesha vifodi wakaamua kugoma kudemonstrate kwa polisi, Chadema na CCM wanaingia vipi? Au Chadema wanamiliki vifodi na CCM wanamiliki polisi? Upuuzi mtupu...

Mkuu, wenye vifodi hawajagoma kuna wahuni wanaweka mawe barabarani kuoneka kama kuna mgomo..

Watu wamekopa benki wanasomesha watoto hawezi kuingia kwenye mgomo usio kuwa na kichwa wala miguu, kisa Lema kakataa dhamana
 
HII INIMEIPATA SASA HIVI TOKA KWA MDAU YUKO PALE MIANZINI

Wana JF huku Arusha hali ni tete baada ya madereva wa vifodi kugoma wakishinikiza mbunge wao aachiliwe huru na OCD Ars ahamishwe. Askari mmoja wa FFU kapigwa kajeruhiwa vibaya mno kwenye purukushani. Kituo cha vifodi kiko kitupu na barabarani hakuna kifodi hata kimoja, peoles are matching to and fro different areas.

Kumbe nyie ndio mnaanza kuwapiga polisi, wakijibu mashambulizi mtasema mnaonewa
 
Birigita hali ya usafiri siyo mbaya, ni hao wanafunzi waliozagaa tena ni eneo moja na ukichunguza ni kila siku mida ya asubuhi kutokana na shida ya usafiri utawakuta wamejazana kituoni. Hadi saizi hakuna tukio lisilo la kawaida la kushitusha.
Mzee wa Rula una hakika mbona nasikia kuna polisi mmoja kapigwa vibaya!!!!!!!!!!
 
Eheeee sasa hapa ndio safari moja inaanzisha na nyingine....umeme hakuna, maji hakuna, hospitali zipo India, Shilingi inazidi kuingia kaburini (nasikia ipo ICU) Mwanza moto, Arusha Moto, next?????
 
Mzee wa Rula una hakika mbona nasikia kuna polisi mmoja kapigwa vibaya!!!!!!!!!!

mkuu ukweli ni kwamba mgomo upo ila madereva wamegawanyika ikumbukwe serikali tangu jana ilikuwa inajaribu kuuzima mgomo huu sasa kinachotoke ni makundi mawawili..ndiyo maana wengine wako barabarani na wengine wamegoma
 
hamna daladala hata moja kwenye route ya usa-river,coaster za moshi arusha tu ndio zinaiba route lakini hazifiki stendi maana wataletewa noma,polisi wa kumwaga kama benghazi vile........mikoa yote ingekua na umoja kama arusha ungekuta tuko mbali saaana,tanzania haina amani,watu tu ndio wanaonewa na ni mafisi ndo maana mnaibiwa,tanzania kuna utulivu ila sio amani...sasa hali ikiendelea hivi mimi ntarudije nyumbani?
 
mkuu ukweli ni kwamba mgomo upo ila madereva wamegawanyika ikumbukwe serikali tangu jana ilikuwa inajaribu kuuzima mgomo huu sasa kinachotoke ni makundi mawawili..ndiyo maana wengine wako barabarani na wengine wamegoma

Mbona ueleweki tuambie kitu kimoja Arusha kuna mgomo au hakuna mgomo! JF sio sehemu ya porojo
 
Eheeee sasa hapa ndio safari moja inaanzisha na nyingine....umeme hakuna, maji hakuna, hospitali zipo India, Shilingi inazidi kuingia kaburini (nasikia ipo ICU) Mwanza moto, Arusha Moto, next?????

yule jamaa aliyekuwa anashangaa tu kupewa ma digrii yule....si yule wanayesema amewekewa kichwa cha nazi kwani humjui yule...jina linakuja na kutoka yupo hivi mweupe mweupe hivi anapendag kusafiri sanaaa....ehee huyo huyo ...huyu ndo chanzo cha yot hayo..we fikiria jamaa ansema kabisa eti hajui kwanini ni masikini....halafu anapenda kununuliwa nguo na waraabu yule....
 
Watanzania tunaonewa na hata imefikia hatua hadi tutalazimishwa kuhama nchi yetu tutanyamaza......siwapendi watanzania.....siipendi CCM ...Simpendi kiongozi yeyote wa tanzania hata barozi wangu simpendi
 
….Like anybody, I would like to live a long life. Longevity has its place. But I'm not concerned about that now. I just want to do God's will. And He's allowed me to go up to the mountain. And I've looked over. And I've seen the Promised Land. I may not get there with you. But I want you to know tonight, that we, as a people, will get to the Promised Land! Maneno Ya Mwisho ya Dr.Martin Luther King ambapo siku iliyofuata aliuwawa!!!
 
Back
Top Bottom