Arusha kumekucha

jesus christ in a chicken basket...you peoples talk about mgomo like it is the end of the world,very unfunny
 
yule jamaa aliyekuwa anashangaa tu kupewa ma digrii yule....si yule wanayesema amewekewa kichwa cha nazi kwani humjui yule...jina linakuja na kutoka yupo hivi mweupe mweupe hivi anapendag kusafiri sanaaa....ehee huyo huyo ...huyu ndo chanzo cha yot hayo..we fikiria jamaa ansema kabisa eti hajui kwanini ni masikini....halafu anapenda kununuliwa nguo na waraabu yule....

hapo kwenye kununuliwa nguo tena waarabu au ndiyo hao tunaoambiwa na uk tutambue haki zao
 
Clouds fm breaking news:

Kuna mgomo wa vifodi arusha,ila kiuhalisia sio wote wanao goma kufanya kazi
isipokua tu wale wasio unga mkono mgomo huo,wakifanya kazi magari yao yana
rushiwa mawe na kuharibiwa,...kuliko kupata hasara ya kutengeneza gari
ni bora wapaki tu magari yao.

Mgomo upo,....nini kifanyike uishe na maisha yaendelee vyema huko?
 
hiyo garama zote zinazotumika analipa nani? ushenzi mtupu kwa ajili ya Zuberi OCD aibu aibu aibu jamani!

Zuberi anatumia ugomvi binafsi na Lema kama kisingizio cha kuleta mtafaruku Arusha. Wananchi na mkoa unaingia katika gharama kubwa likiwemo jeshi la polisi kwa sababu ya OCD ambaye kiburi na tabia zake za kihuni na ushabiki wa CCM unamfanya kugeuza kitu kidogo kuwa drama ya mji mzima. Ni kukosa busara kwa Zuberi ndiko kunako pelekea polisi kutumia extra bajeti kuzunguka mji mzima kuzima fujo ambazo hazikuwa za lazima
 
Zuberi anafanyakazi ya jamuhuri kwa msukumo wa kisiasa, anaropoka ovyo ila naamini kuanzia leo mpaka tarehe 14 mwezi huu uyo OCD ataletewa memo flani mezani kwake.
 
Naona madaraka waliopewa yanawalevya such that common sense kwao sio common!
 
Mkuu, wenye vifodi hawajagoma kuna wahuni wanaweka mawe barabarani kuoneka kama kuna mgomo..

Watu wamekopa benki wanasomesha watoto hawezi kuingia kwenye mgomo usio kuwa na kichwa wala miguu, kisa Lema kakataa dhamana
Wewe nadhani upo Ushagoo na Arusha hujawai kutia hata pua, Hapa mjini hakuna mawe yakuziba barabara bwana mdogo, trip ya town to njiro inaishia impala na hapa round about hakuna mawe ya kuwazuia ila wanakatisha safari kwa kuheshimu mgomo uliopo ila jioni lazima wapeleke kitoweo nyumbani.
 
yule jamaa aliyekuwa anashangaa tu kupewa ma digrii yule....si yule wanayesema amewekewa kichwa cha nazi kwani humjui yule...jina linakuja na kutoka yupo hivi mweupe mweupe hivi anapendag kusafiri sanaaa....ehee huyo huyo ...huyu ndo chanzo cha yot hayo..we fikiria jamaa ansema kabisa eti hajui kwanini ni masikini....halafu anapenda kununuliwa nguo na waraabu yule....

Unanifanya napata taswira ya yule mbantu alie-act sinema ya BUSHMAN, ila yule rangi yake mweusi mweusi kidogo.
 
Mimi nijuavyo hali ni mbaya lakini si kihivyo mpaka kujeruhiwa askari polisi!
Haihitajiki hali kuwa mbaya ili askari polisi kujeruhiwa Arusha, alafu mda unavyozidi kwenda kama unabadilishabadilisha mtazamo na msimamo wako kuhusiana na jambo hili.
 
Tunisia,Misri,Libya ilianza ukombozi kwa mji mmoja mmoja hatimaye nchi nzima ikakombolewa,tuwaunge mkono ndg zetu wa Arusha nasi tukijiandaa kila mmoja kwa mji wake hatimaye ukumbozi kwa Tanzania
 
Zuberi anatumia ugomvi binafsi na Lema kama kisingizio cha kuleta mtafaruku Arusha. Wananchi na mkoa unaingia katika gharama kubwa likiwemo jeshi la polisi kwa sababu ya OCD ambaye kiburi na tabia zake za kihuni na ushabiki wa CCM unamfanya kugeuza kitu kidogo kuwa drama ya mji mzima. Ni kukosa busara kwa Zuberi ndiko kunako pelekea polisi kutumia extra bajeti kuzunguka mji mzima kuzima fujo ambazo hazikuwa za lazima

Kuna ule msemo kwamba ukiona unatikanwa na mtoto mdogo ujue katumwa na baba yake, huyo OCD kapewa rungu la kufanya huo ubabe na na hao wa kumchukulia hatua hawata fanya hivyo maana ndio waliompa go ahead..
 
Kuna PANYA walikuepo asubuhi hapa wakapinga kwa nguvu zote kuwa hakuna mgomo halafu baadae wakaanza kusema sio mgomo mkali kivile ni wahuni tu wameweka mawe, kisha wakasema sio kweli bali CDM wanakuza mambo, sa izi sioni hata mmoja, naona kazi imewashinda, utaona wakisoma hii comment yangu watakavyofuka moshi kama Zuberi akimuona Mh.Lema
 
Zuberi anafanyakazi ya jamuhuri kwa msukumo wa kisiasa, anaropoka ovyo ila naamini kuanzia leo mpaka tarehe 14 mwezi huu uyo OCD ataletewa memo flani mezani kwake.

Wewe mbona unajidanganya sana kila muda ngoja tarehe 14, mtafanya nini unaleta porojo tu..

Siku hiyo ndio mtajua kama serikali ipo mtajuta siku hiyo mitaa yote kitakachokuwa kinaonekana barabarani ni yebo yebo na pakiti za viroba tu, wewe najua utakuwa umejificha nyuma ya Laptop yako ukileta update
 
Kuna ule msemo kwamba ukiona unatikanwa na mtoto mdogo ujue katumwa na baba yake, huyo OCD kapewa rungu la kufanya huo ubabe na na hao wa kumchukulia hatua hawata fanya hivyo maana ndio waliompa go ahead..

Ok BAVICHA Arusha wametoa tamko kali dhidi ya huyu bwana na sisi tunawaunga mkono. Huyu bwana ni size ya wana Arusha ambao wana uchungu kwa kumdhalilisha Mbunge wao waliopanga foleni kumpigia kura. Mtu mmoja hawezi kusababisha Arusha isikalike na kitakachofanyika ni kama kumwondoa mdudu ndani ya jicho.
 
Back
Top Bottom