Arusha kumekucha

Wewe nadhani upo Ushagoo na Arusha hujawai kutia hata pua, Hapa mjini hakuna mawe yakuziba barabara bwana mdogo, trip ya town to njiro inaishia impala na hapa round about hakuna mawe ya kuwazuia ila wanakatisha safari kwa kuheshimu mgomo uliopo ila jioni lazima wapeleke kitoweo nyumbani.

Tarehe 14 takuepo Arusha tafikia Palace Kibo hotel karibia na mahakama, nikifika takuambia tukutane pale mnara wa saa..

Arusha unaona CHICAGO?
 
kuna siku rejao almwambia elli hivi''kama kweli wewe umo humu mlimani city niambie umekaa wapi nije nikufate sio unaongea kitu usichokijua'' elli akamwelekeza alipo na alivyovaa .....baada ya kuambiwa aende rejao akabaki anajiuma uma na mwisho wa siku aka log off......sasa na wewe ni aina yake.....kwanza hata kulala kibo hapo huwezi na huna jeuri ...na yawezekana hata arusha hupajui
 
Kamwe siwezi kukutana na kapurwa kama wewe, ni mahakama ipi ipo karibu na Kibo Palace?????
 
kuna siku rejao almwambia elli hivi''kama kweli wewe umo humu mlimani city niambie umekaa wapi nije nikufate sio unaongea kitu usichokijua'' elli akamwelekeza alipo na alivyovaa .....baada ya kuambiwa aende rejao akabaki anajiuma uma na mwisho wa siku aka log off......sasa na wewe ni aina yake.....kwanza hata kulala kibo hapo huwezi na huna jeuri ...na yawezekana hata arusha hupajui
Hebu angalia iyo Kibo Palace alivyoiandika kwanza!
 
Wewe mbona unajidanganya sana kila muda ngoja tarehe 14, mtafanya nini unaleta porojo tu..

Siku hiyo ndio mtajua kama serikali ipo mtajuta siku hiyo mitaa yote kitakachokuwa kinaonekana barabarani ni yebo yebo na pakiti za viroba tu, wewe najua utakuwa umejificha nyuma ya Laptop yako ukileta update
Tarehe 14 panya watakimbiza paka endelea kuneng'eneka.
 
kuna siku rejao almwambia elli hivi''kama kweli wewe umo humu mlimani city niambie umekaa wapi nije nikufate sio unaongea kitu usichokijua'' elli akamwelekeza alipo na alivyovaa .....baada ya kuambiwa aende rejao akabaki anajiuma uma na mwisho wa siku aka log off......sasa na wewe ni aina yake.....kwanza hata kulala kibo hapo huwezi na huna jeuri ...na yawezekana hata arusha hupajui

alale kibo kwa pesa ipi? hiyo posho ya buku 2 wanayolipwa na NAPE?
 
Siku hiyo ndio mtajua nidhamu ya jeshi letu la polisi..

Nategemea Yebo Yebo zitajaa Fusso nzima
Huyu RITZ kibaraka mkubwa wa CCM na ukiona kijana yupo CCM kama RITZ ujue alinyonya mbolooooy ya baba yake akiwa mdogo,ndiyo mana akili unatumia makamasi kufikiri badala ya ubongo,akili umefungia kabatini,haya nenda sasa kwa mmeo NAPE ukachukue posho kwa upuuzi uliotumwa uje upambane humu.
 
Siwezi kukujibu nikijibu takula mimi Ban..

Pro-CDM JF matusi ndio mnachojivunia endelea kutoa matusi watu wajifunze kutoka kwako, wewe kiboko unajua kutukana hongera sana
 
Back
Top Bottom