Ahsante kwa taarifa MungiNimepitia barabara ya clock tower, daladala zipo za kuhesabu. Frends corner - unga ltd daladala zipo nyingi kidogo.
Birigita hali ya usafiri siyo mbaya, ni hao wanafunzi waliozagaa tena ni eneo moja na ukichunguza ni kila siku mida ya asubuhi kutokana na shida ya usafiri utawakuta wamejazana kituoni. Hadi saizi hakuna tukio lisilo la kawaida la kushitusha.Mkuu, ina maana wanafunzi peke yao ndo wamekosa usafiri?
Watu wazima waendao makazini wao wamepanda nini?
nawapa pole sn wanafunzi waliokosa shule na wafanyakazi walioshindwa kwenda kazini VUMILIENI TU MANA TUKO KWENYE MCHAKATO WA KULIKOMBOA TAIFA.