Arusha kumekucha

Arusha kumekucha

Saaaafi sana, leo hakuna Al shabab huko, maana hawakawii kusema kuna alshabaab
 
Orait, thanks.
Kwahiyo mgomo wa toyo na vifodi haujafanyika kama ilivyoripotiwa?.
Birigita hali ya usafiri siyo mbaya, ni hao wanafunzi waliozagaa tena ni eneo moja na ukichunguza ni kila siku mida ya asubuhi kutokana na shida ya usafiri utawakuta wamejazana kituoni. Hadi saizi hakuna tukio lisilo la kawaida la kushitusha.
 
jamani hii serikali gani ambayo haisomi hata arama za nyakati sasa tizama watoto washule wanakosa masomo kwa sababu ya mtu mmoja anajiita Zuberi kwa kufanya kazi ya Mkama wa CCM. Mungu wangu nakuomba utuepushe na hii Bengazi ya Tanzania

Hata Azimio letu lilianzia Arusha, kwa hiyo sitashangaa kuona na Bengazi ikiaanzia hapo..pale viongozi wetu wanaposhindwa kusoma alama za nyakati
 
orait, thanks.
Kwahiyo mgomo wa toyo na vifodi haujafanyika kama ilivyoripotiwa?.

mzee wa rula naona yeye anaona ni kawaida hakuna kifodi waLA toyo inayobeba abiria mpaka sasa hapo anaposema wanafunzi wapo kituoni
 
Wana jamvi heshima kwenu.

Ule mgomo wa daldala,taxi na bodaboda umeshindwa kufanyika kama ilivyotarajiwa.
Madereve wa daladala na bodabado wamekataa kuitikia mwito wa wanaharakati wa CDM wa kugoma kwa siku ya leo ili kushinikiza Mbunge wa Arusha mjini Mheshimiwa Godbless Lema aachiwe huru.

Mheshimiwa Godbless Lema aliigoma kuchukua dhamani na kukubali kwenda gerezani kwa hiyari yake mwenyewe ikiwa ni sehemu ya kupinga kuonewa na kunyanyaswa na jeshi la polisi mkoani Arusha.

Nimezungumza na madereva wa daladala na bodaboda wengi wamekataa kuunga mkono mgomo kwa kigezo kikubwa kwamba Lema hakunyimwa mdhamana bali alitakaa mwenyewe kwenda magereza pengine ni sehemu ya mkakati wake wa kufungua matawi mengi ya CDM au kujitafutia umaarufu zaidi ambao tayari anao.Wengine walienda mbali zaidi kwa kuniambia ajira yao inategemea malipo ya siku hivyo kugoma ni kujinyima rizki na kuziumiza familia zao pasipo sababu za msingi.

Wapiga debe wanajaribu bila mafanikio kuwalazimisha madereva wa daladala wapaki magari.Jeshi la polisi FFU wamezidisha doria ili kukabiliana na wapiga debe wanaotishia usalama wa daladala na raia.

Nitarejea baadae nipo mtaani kuwapa kile wanajamvi wengi msichopenda kuelezwa.
 
kaka hyo ndio arusha watu wamechoka kunyanyaswa, sasa huo ni mwanzo, watawala wachakachue katiba ndio watajua nguvu ya uma vizuri
 
Hongera vijana wa Arusha. Ameamua mwenyewe kwenda jela, mwacheni akae huko, akichoka ataomba kutoka.
 
Huyu sijui vp!hapa nilipo napiyanga kwa miguu kwenda kazini coz hamna usafiri!we uko Arusha ipi!
 
naona polisi wanazunguka na magari yako wakiwa tayari kwa lolote...

​aiseeeehhhh huko naona kuna ka harufu fulani hivi

Chama chetu kinaangamia kwa kukosa maarifa

jamani hii serikali gani ambayo haisomi hata arama za nyakati sasa tizama watoto washule wanakosa masomo kwa sababu ya mtu mmoja anajiita Zuberi kwa kufanya kazi ya Mkama wa CCM. Mungu wangu nakuomba utuepushe na hii Bengazi ya Tanzania

.. Utawala kokote umeshindwa kusoma alama za nyakati ... KUUA NGUVU YOTE YA G LEMA ... Waongee naye WAMTOE TU!! Wapi iko shida? LAKINI Upofu huu wa kiintelegensia .. ndio .. Utafanya Kuzuka kwa mambo ambayo hayakuwa na ulazimama wowote kutokea!!
 
Huyu sijui vp!hapa nilipo napiyanga kwa miguu kwenda kazini coz hamna usafiri!we uko Arusha ipi!

kazi gani unaenda saa nne?. Hiyo itakuwa sio kazi ni shughuli.
 
sasa aliyekupigia simu na huyu ambaye ndie muathirika wa tukio lenyewe mkweli yupi??? Duh, hii nayo inahitaji degree??
acha kudanganya umma. Kuna mtu kanipigia simu kutoka Arusha anasema vijana wanapiga kazi.
 
Mi niko Arusha saa hizi hakuna daladala we uko wapi?


Labda unazungumzia Arusha ya kufikirika ninakwambia daladala zinapiga mzigo kama kawaida.

Hongera vijana wa Arusha. Ameamua mwenyewe kwenda jela, mwacheni akae huko, akichoka ataomba kutoka.

Hii ndiyo hoja ya madereva wengi wa daladala.
 
Back
Top Bottom