Arusha Jiji amkeni

Arusha Jiji amkeni

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
9,193
Reaction score
14,900
Yule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! 😁
 
Mwamba ana mji arusha, hata baada ya kuharibikiwa dar alirud arusha na mkewe kwenye makazi yao ya kudumu.
 
Huyo mteule ana nyumba kila mkoa ulio na tija ,taja mkoa unaoishi ni kwambie anazo ngapi ,
 
Yule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! 😁
Sawa Bwana G
 
Yaani Arusha nitawaona mananga kweli kweli kukubali kuchagua mtu wa Meatu kuwa mbunge wa Arusha kama kwamba hakuna kabisa akina Mollel wenye uwezo wa kuongoza kisiasa. 🤔
Kwanza uchaguzi wenyewe upo basi .... No reformsNoelection ⏯️▶️
Tatizo sio wananchi , ccm wakitaka mtu wao apite hakuna kitakacho shindikana
 
Yule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! 😁
Mimi mzaliwa wa Arusha tangu ikiitwa Arusha Town Counsel mwenyeji aliyebahatika kuwa mbunge ni Solomon Ole Saibul pekee tangu uhuru na baada ya kupata yeye na hayati Titus wakaanzisha kitu kinaitwa WAPA malengo yake yakiwa ni ukabila tuu .
Ujinga mtupu
Tangu Nsilo Swai wakati wa uhuru kupitia Mmbaga,Kinana na Gambo larisai mtatawaliwa tuu.
 
Ange kuwa na mji ange ang'ang'ania nyumba ya mwenzake? Arusha alikwenda kujificha kwa wakwe zake kuepuka watesi wake Dar
Mimi mzaliwa wa Arusha tangu ikiitwa Arusha Town Counsel mwenyeji aliyebahatika kuwa mbunge ni Solomon Ole Saibul pekee tangu uhuru na baada ya kupata yeye na hayati Titus wakaanzisha kitu kinaitwa WAPA malengo yake yakiwa ni ukabila tuu .
Ujinga mtupu
Tangu Nsilo Swai wakati wa uhuru kupitia Mmbaga,Kinana na Gambo larisai mtatawaliwa tuu.
Kinana ame zaliwa wapi? Mrema makazi yake ya kudumu wapi? Gambo makazi yake ya kudumu ni wapi? Huyo mnae mpigia kifua anaishi wapi baada ya kuutamani ubunge wa jimbo la Arusha
Mwamba ana mji arusha, hata baada ya kuharibikiwa dar alirud arusha na mkewe kwenye makazi yao ya kudumu.
 
Yaani Arusha nitawaona mananga kweli kweli kukubali kuchagua mtu wa Meatu kuwa mbunge wa Arusha kama kwamba hakuna kabisa akina Mollel wenye uwezo wa kuongoza kisiasa. 🤔
Kwanza uchaguzi wenyewe upo basi .... No reformsNoelection ⏯️▶️
Huwajui waarusha vizuri.
Kiufupi hawana akili, ni wavivu..kazi yao ni ubabe, uhuni na kugombea mipaka ya viwanja, acha wakuja wawaongoze.
 
Usijali mkuu, relax.. Huyo mtekaji,muuaji na mbakaji ana backup ya vijana (wahuni) wachache (vijana wa kirangi a.k.a wadudu) nje ya hapo mbwembwe tu Kama tunavyomjua.
Kwanza hatuna uchaguzi mkuu mwaka huu (NRNE). Pili, after Reforms hyo jamaa apeleke kwato zake akawajaribu Kolomije wenzake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom