Arusha Jiji amkeni

Arusha Jiji amkeni

Yule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! 😁
uzuri mgombea hapitishwi na kura anapitishwa na mwenyekiti
 
Yule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! 😁
Huku kigamboni tulimkata amekimbilia chuga
 
Unataka wafanye nini na uchaguzi ni BANDIA!?

Ikitokea Makonda au yeyote chama kitachoamua awe Mbunge Arusha mjini ndio huyohuyo! Watafanyaje!!

Upinzani umekataliwa, Ccm haitaki uchaguzi tena!! Hakuna mwananchi atakayechagua kiongozi nchi nzima hii! Viongozi wote wanawekwa kutokea MSOGA NA KIZIMKAZI Bhaaas!!!
 
Yule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! 😁
Yule mi mtu wa maslai yake binafsi
 
Noma kweli yaani
 
Yaani Arusha nitawaona mananga kweli kweli kukubali kuchagua mtu wa Meatu kuwa mbunge wa Arusha kama kwamba hakuna kabisa akina Mollel wenye uwezo wa kuongoza kisiasa. 🤔
Kwanza uchaguzi wenyewe upo basi .... No reformsNoelection ⏯️▶️
Kumbe mwamba ni mtu wa meadu? 🤣 You Know
 
Yule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! 😁
Ule wimbo Jaydee wa YAHAYA UNAISHI WAPIIII .......una husika
 
Mwamba ana mji arusha, hata baada ya kuharibikiwa dar alirud arusha na mkewe kwenye makazi yao ya kudumu.
Kwa Daudi Bashite kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha sina shida kwa kuwa ni cheo cha uteuzi. Ila Arusha kuwa na Mbunge mwenye haiba ya Bashite ni kudhalilisha Jiji la Arusha na wananchi wake. Imagine mtu anapigiwa debe na WADUDU
 
Mimi mzaliwa wa Arusha tangu ikiitwa Arusha Town Counsel mwenyeji aliyebahatika kuwa mbunge ni Solomon Ole Saibul pekee tangu uhuru na baada ya kupata yeye na hayati Titus wakaanzisha kitu kinaitwa WAPA malengo yake yakiwa ni ukabila tuu .
Ujinga mtupu
Tangu Nsilo Swai wakati wa uhuru kupitia Mmbaga,Kinana na Gambo larisai mtatawaliwa tuu.
WAPA kirefu chake ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom