sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 4,173
- 7,261
Makongoro Nyerere mbunge machachari kabisa, huyu alikuwa mwenyeji au mgeni?Mimi mzaliwa wa Arusha tangu ikiitwa Arusha Town Counsel mwenyeji aliyebahatika kuwa mbunge ni Solomon Ole Saibul pekee tangu uhuru na baada ya kupata yeye na hayati Titus wakaanzisha kitu kinaitwa WAPA malengo yake yakiwa ni ukabila tuu .
Ujinga mtupu
Tangu Nsilo Swai wakati wa uhuru kupitia Mmbaga,Kinana na Gambo larisai mtatawaliwa tuu.