Arusha BILA G. Lema ni Neema na Baraka

Arusha BILA G. Lema ni Neema na Baraka

yule mwehu amejifitinisha mwenyewe..ameiharibu arusha

mwambie mukulu aache kuwapiga wakatoliki na mabomu, kamuua padri huko zanzibar, arusha kaua, vyeo anawapa dini yake tu! mfano kawambwa!
kaanzisha story za eti nani achinje!
 
Mnaosema G. Lema mkosi, mara kaleta majanga hamjui msemalo. Elewa CCM ni chama tawala na wameshikilia dola. Kinachoendelea ni CCM kutaka kuichafua Arusha ionekane haina Amani, haina maendeleo wala utulivu ili hatimae wa kulaumiwa awe Lema kama hapa mnavyolaumu. Kama wana Arusha huwa wanasema ni bora kuchagua jiwe kuliko CCM ni dhairi kwamba wanachokifanya ni kuwakomoa wana Arusha kwa kuifanya isiwe na Amani ili mwisho wa yote lawama zirudi kwa Lema. Na hatimae akose sapoti ya wana Atusha wakiwa na Lengo la kulichukua jimbo hiyo 2015. Siasa ni mchezo mchafu guys. Dont think kwamba lema anahusika. Fikiri mara mbili kabla hujasema kauli kama hiyo, kwani Lema ndo anaetupa hayo mabomu??? Pia elewa serikali ilifanya makusudi kukarabati barabara na mambo mengine muhimu wakati lema amesimamishwa ili wana Arusha waone kama vile Arusha bila lema inawezekana Lakini ni Technic tuu na siasa ni mchezo mchafu guys..
 
Niliwashangaa sana watu wa arusha,
Hivi mlipopiga kura kumchagua lema mlirogwa?
 
Magamba wameona serikali mbili zinawashinda katika bunge maalum sasa wanajaribu kupotezea na issue za lema.
 
Hakika umenena swahiba...Arusha bila godbless Lema ni neema na baraka..wana Arusha tuamke sasa tukubali yaliyopita si ndwele. Turejeshe neema yetu iliyokuweo tangu zama.... Sisis tuna kijana wetu daktari mtaalam ambaye tunakusudia alikomboe jimbo. Tumuombee Allah amfungulie njia......ARUSHA BILA G.LEMA INAWEZEKANA......
Historia inaonyesha kabla Lema hajawa mbunge, arusha ilikuwa salama kabisa, hata upatikanaji wa pesa haukuwa mgumu na mambo yalikuwa yanakwenda vizuri, lakini tangu kipindi chake kimeanza hadi leo, full majanga!

Kipindi kile alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo na tulishuhudia barabara za mitaani kuwekwa lami, na pia kuzinduliwa kwa jiji la Arusha. Haka kamuda alikobakiza bora akaishi Somalia angalau neema zirudi tena kidogo.
 
Niliwashangaa sana watu wa arusha,
Hivi mlipopiga kura kumchagua lema mlirogwa?

CCM tulijichanganya wenyewe, baada ya kuondoa jina la Felix Mrema na kumuweka Batilda Burian ambaye hakuwa anakubalika sana na wanaarusha wengi. Hapo ndipo huyu chekbob akapita. Ila 2015 hatutarudia kosa.
 
KARIBUNI NILIKUWA ARUSHA,NIKAONGEA NA DEREVA WA BODABODA AKANIAMBIA ARUSHA TUNAIPENDA CDM HATA TUKISIMAMISHA JIWE na CCM JIWE LITASHINDA,LEMA HANA LOLOTE.NILISAHAU KUMUULIZA NINI MAKOSA YA CCM.
 
kwani umaskini ulijaa maeneo mengi ya nci hii ni kwasababu ya Lema? Acha shobo!
 
KARIBUNI NILIKUWA ARUSHA,NIKAONGEA NA DEREVA WA BODABODA AKANIAMBIA ARUSHA TUNAIPENDA CDM HATA TUKISIMAMISHA JIWE na CCM JIWE LITASHINDA,LEMA HANA LOLOTE.NILISAHAU KUMUULIZA NINI MAKOSA YA CCM.

hawachoki kuongozwa na jiwe? Lakini aliwadanganya pia waliokuwa wanaishi kwenye zile nyumba mwishowe akawageuka, na hao wapo wachache tu watapata akili siku ikifika.
 
Lema ishughurikie Arusha mpaka vijana wajute usipofanya hivyo hawatagundua kama Cdm haitakiwi hapo Arusha chezea G. Lema wewe

aishughulikie kwa mabom co? Hahahaha.....kila jambo lina mwisho wake'
 
Niliwashangaa sana watu wa arusha,
Hivi mlipopiga kura kumchagua lema mlirogwa?
Mtoto wa miaka 6 wa arusha ni sawa na watu wa akili yako zaid ya 1000. Ndio mana hawakukubali kuhongeka na viji tshirt na vikofia vyenu wakafanya uamuzi sahihi kwa lema ambaye ni tunu kwa taifa hili,,hata mkihujumu arusha kwa kulipua mabomu ili mumfitinishe lema na wananchi hamtafanikiwa ,hizo ni siasa za kichovu ambazo ni wajinga kama wewe wanaweza kurubunika, OVER,!
 
Lema ni janga arusha.
Watu kwa mamia wansjuta kumpa kura huyu mhuni wa kisiasa aliyekubuhu vurugu na maandamano.
Hata hivyo Chairman Freeman Mbowe atampiga chini mwakani Dr slaa achukue maana hajamlipa mwenyekiti Fadhila.

Lema karibu TLP.
 
Lema knows the whole story of bombs!. Anatuzuga hapa watu wazima!. Can you tell us where you were soon after the first blast in the city?. Ulikuwa nchi gani wewe Lema?, si useme?
 
Back
Top Bottom