fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,543
ulianza ngono ukiwa mdogo sana, akil ikableach!
Pima
gonorrhea na syphilis coz yawezekana bado hujapona
ulianza ngono ukiwa mdogo sana, akil ikableach!
Mtoto wa miaka 6 wa arusha ni sawa na watu wa akili yako zaid ya 1000. Ndio mana hawakukubali kuhongeka na viji tshirt na vikofia vyenu wakafanya uamuzi sahihi kwa lema ambaye ni tunu kwa taifa hili,,hata mkihujumu arusha kwa kulipua mabomu ili mumfitinishe lema na wananchi hamtafanikiwa ,hizo ni siasa za kichovu ambazo ni wajinga kama wewe wanaweza kurubunika, OVER,!
Pima
gonorrhea na syphilis coz yawezekana bado hujapona
lema abadilike bado ananafasi ya kujisahihisha.
join date : 16th march 2014
posts : 212
rep power : 347
likes received33
likes given0
a4.ulijiunga juzi kwa lengo hili, nenda fb boya ww
maswala ya lini? Saa ngapi ? Hayana mashiko, muhimu kuna ukweli ?na jenga hoja.
Lema ni janga la arusha
......
.....CHADEMA ARUSHA NI MBUYU !!!!
![]()
Historia inaonyesha kabla Lema hajawa mbunge, arusha ilikuwa salama kabisa, hata upatikanaji wa pesa haukuwa mgumu na mambo yalikuwa yanakwenda vizuri, lakini tangu kipindi chake kimeanza hadi leo, full majanga!
Kipindi kile alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo na tulishuhudia barabara za mitaani kuwekwa lami, na pia kuzinduliwa kwa jiji la Arusha. Haka kamuda alikobakiza bora akaishi Somalia angalau neema zirudi tena kidogo.
subiri yesu arudi kwanza aje kukuelewesha kuwa lema ni arushasawa fundi ila haya magonjwa ni bora kuliko lema kuwa mbunge wa arusha.
subiri yesu arudi kwanza aje kukuelewesha kuwa lema ni arusha
Kaka kama ni ppumba umekoboa kweli lazima umetumia powetila kufanya hii kazi manake analysis yake iko shallow utafikiri uliwahi pata ajali sehemu ya ubongo wako ikavuja