Arusha BILA G. Lema ni Neema na Baraka

Arusha BILA G. Lema ni Neema na Baraka

Historia inaonyesha kabla Lema hajawa mbunge, arusha ilikuwa salama kabisa, hata upatikanaji wa pesa haukuwa mgumu na mambo yalikuwa yanakwenda vizuri, lakini tangu kipindi chake kimeanza hadi leo, full majanga!

Kipindi kile alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo na tulishuhudia barabara za mitaani kuwekwa lami, na pia kuzinduliwa kwa jiji la Arusha. Haka kamuda alikobakiza bora akaishi Somalia angalau neema zirudi tena kidogo.

Hivi wewe A4. Ni unazo au hamnazo?
Kweli humu ndani unatuambia habari za kunge kuwa na mbunge fulani ndio kungekuwa na maendeleo? ni akili kweli au umetumwa. kwa haraka tuu nenda Manispaa wakupe program za amendeleo ya mjini na usilopoke tuuuu. we uanpo fikili watu wakienda Bungeni kupanga Budget ya mwaka huwa wana maana gani?

Juzi kumetokea Bomu hapo Arusha Night Park unataka kusema wananchi wameamua kuuwana wao kwa visa vya siasa? Hii sio siasa kaa ujue hilo.

Watu wengi walihisi mchezo mchafu wa Kibiashara yaani kuoneana wivu
Wengine wana hisi ni Al Shabab kwa kuona matokeo yale yalio tokea Nairobi na Mombasa Majuzi tuu na Kampala kwenye club moja watu walikuwa wakiangalia mpira pia miaka michache nyuma.

Sasa wewe usitake kuupotosha Umma kwa njaa zako na njia mkato ulizo zizoea sa sasa hakuna.

Mwambie akimaliza hapo akwambie na Soweto ni nani alilipua
 
ccm kwa kuonyesha chuki zao kwa Lema na wananchi wakaamua kulipua bomu kanisani, wakaona haijatosha wakalipua mkutano wa chadema, bado wakaona wananchi hawasikii wamelipua kwenye baa

Sisi wana wa Arusha tunayajua yote hayo na sasa watoto wangu wanaogopa kwenda kanisani au kwenye mikusanyiko kwa sababu watalipuliwa
 
Kweli kama hizi ndiyo thinking ya CCM na wanaCCM basi kweli kama alivyosema jana Mwenyekiti Mbowe, utawala unapofikia mwisho Mungu huupatia hekima ya upofu kiasi cha kuanza kupambana na hata wale wale wanaotakiwa kuwaongoza.

Kwa topic yenu hii mmedhihirisha vitu kadhaa kuwa mmekuwa mkifanya matukio hayo ya kulipua na kuua watu huku mkiacha wengine walemavu, yatima na wajane kwa sababu mnafikiri mtaweza kumfitinisha Lema na pengine CHADEMA kwa watu wa Arusha. Very wrong strategy kwa sababu badala ya kuwatisha wanaArusha mmekuwa mkiwakomaza zaidi na kuwaunganisha, kwamba kwa kupigania matumaini na haki katika nchi yao, they all face the same fate hadi mkoloni mweusi aondoke come next year.

Lakini pia mmekuwa mkidhihirisha kuwa kumbe uhai wa CHADEMA na uwakilishi was mbunge wa Arusha vinawasumbua sana. Kwa sababu ukiona adui yako analalamika basi unakazia hapo hapo. Ukiona adui anakusifia jitafakari mara mbili sana.
Tuonyeshe wapi mwanachama wa CCM au Kiongozi wa CCM amesema hayo unayojibu!!! Yaani hata wewe!!! Unadhani kila raia wa Tanzania lazima awe CCM au CDM; Ndugu wapo raia huru Mkuu ndio maana kura za Mbunge na za Rais siku zote hazi-tally.
 
Historia inaonyesha kabla Lema hajawa mbunge, arusha ilikuwa salama kabisa, hata upatikanaji wa pesa haukuwa mgumu na mambo yalikuwa yanakwenda vizuri, lakini tangu kipindi chake kimeanza hadi leo, full majanga! Kipindi kile alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo na tulishuhudia barabara za mitaani kuwekwa lami, na pia kuzinduliwa kwa jiji la Arusha. Haka kamuda alikobakiza bora akaishi Somalia angalau neema zirudi tena kidogo.
Mjinga Mubwa we, Lema ankusanya wapi kodi ili awaletee maendeleo? Mliweka lami babara baaday ya kumsimamisha leema ili kuwadanganhya wananchi wajinga kama wewe kwamba Lema hawezi kitu, wakati mwenye mamlaka ya kukusnya kodi na kuzitumia ni serikali. Lema kazi yake kama mwakilishi wa wananchi ni kuisimanmia serikali nakuikumbusha kutekeleza wajibu wake kama matengenezo ya barabara na miradi mingine. Lkini Serikali yenu ya mafisadi inadhani kwa kuwabania wabunge wa upinzani itawahadaa wanainchi. Tkweli tunauujua na nikazi yetu kuenedelea kuwaelimisha wananchi kuhusu unafiki wa CCM mpaka kieleweke.
 
Ni kweli kabisa Lema na Chadema wametuharibia Geneva yetu ya Afrika, sasa ni mabomu kila kukicha.

Kila wakati CCM a wanachama wake wamejivika mavazi ya damu za watu, uchonganish na ulaghai wa kijinga. Kama asilimia mia moja wahusika wa kulipua wanaArusha muda wote ni CCM wakishirikiana na jesh la polisi then mnasingizia Lema na Chadema mnajifariji mioyoni mwenu lakini hamtambui laana mnayoiletea Tanzania kwa uovu huu. Hamtaki kuona Arusha pametulia na hata alipokuja mkurugenzi mchapa kazi Mama Zipora mliona malengo yenu ya ki. ha. ni.si. hayana nafasi tena akaleta Arusha mpya iliyowakuna watu wengi. Kuendana na chuki zenu za ku..p..u..mba.vu mkamtoa ili asiendelee kurudisha arusha milyoiua kwa ufisadi wenu. Kwa yeyote mwenye nia njema na Arusha atakubaliana na mimi kuwa mnafanya matukio haya ili kujustfy kwa umma kuwa Lema ndo kasababisha haya mkisahau waratibu wa shughuli zote wanajijua ni CCM na Polisi.Najiuliza hivi Mkuu wa Mkoa wa Arusha bwana Milongo achunguzwe sana kwa kuwa inaonekana ndiye anayeratibu haya mambo kwa nguvu zote. Nasema hivi kwa sababu hata jana anasema bomu liliachwa bar na lilikuwa limetengenezwa kienyeji. Yewe ni mtaalamu wa mabomu? lile la olasiti ni hivyo alitoa comments the same kwa lile la mkutano wa chadema na hata kasema makachero wa FBI wapo Arucha kusaidia uchunguzi kumbe pumba tupu. Mkuu wa mkoa wa Arusha ni Mhusika achunguzwe. Pia kauli ya kikwete since azindue Jiji la Arusha mpaka leo inaendana na matukio haya ya mabomu Arusha Kikwete, na ndo mkakati mufilisi CCM kupitia kwa baadhi ya polisi . hata mfanye nn, bado Arusha ni center ya ukombozi na wanaarusha wameshakomboka kuanzia fikra na ni wapambanaji. mtasababisha maisha magumu lakini wanaarusha wanabidii ya kazi, wana uelewa, ni wang'amuzi na wenye dira. Mtabaki kujipambanua humu wenzenu wanapiga mizigo ya utalii, biashara, kilimo, madini, ufundi, shule na ufugaji. Vilaza kama ninyi mnategemea hisani ya chama chenu ndo mtakufa kwa njaa kwani hamjishughulish zaidi ya kulishwa maneno na kuja kuyatapikia hapa jukwaani hamna kazi zaidi ya kulamba ma.kalio ya mafisadi wachafu kuanzia ndani mpaka nje wa CCM. Arusha hawako ki...sen..ge kama wewe na ni wataftaji wa kipato halali na wanajua kutumia. Mlijaribu kutumia mbinu kuwaangamiza wafanya biashara mliodhani wanamsupport lema kini spirit ya wanaarusha kwa Chadema ni Kubwa kuliko unavyodhani. Hawauzi madawa ya kulevya wala sio pun.da kama ninyi mnaotumwa kupeleka mizigo ya mafisadi na kutegemea wezi wa CCM.
Kwa taarifa yako pia na Mungu hapendi kuona haki ikiminywa. Mnayoyafanyia gizani mtaumbuka tu.
 
historia inaonyesha kabla lema hajawa mbunge, arusha ilikuwa salama kabisa, hata upatikanaji wa pesa haukuwa mgumu na mambo yalikuwa yanakwenda vizuri, lakini tangu kipindi chake kimeanza hadi leo, full majanga!

Kipindi kile alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo na tulishuhudia barabara za mitaani kuwekwa lami, na pia kuzinduliwa kwa jiji la arusha. Haka kamuda alikobakiza bora akaishi somalia angalau neema zirudi tena kidogo.

how old are you??
 
ni wewe na chadomo wenzio ndio mnaotukana! Afadhali mmejigundua labda mtajirekebisha! Pia huna kazi za kufanya hadi unafuatilia post zote humu jf, zaidi ya members 190,000? Kweli wewe POPO!
Hujitambui. Ina maana wewe ndo unakazi za kufanya unakurupuka usiku wa manane na kuandika post za chuki huku mtaandaoni? Jaribu kujitoa boriti kabla ya kutoa kibanzi machoni pa wengine. Ungeheshimika sana kama ungekuwa mtu wa kuhubiri amani na kutoa mbadala wa maisha badala ya kuanza kuandama watu kwa chuki za kipuuzi. Basi kama umeona Lema hafai tupe mbadala wa mtu ambaye unaona atafanya Arusha kuwa nchi ya Maziwa na asali.
 
Historia inaonyesha kabla Lema hajawa mbunge, arusha ilikuwa salama kabisa, hata upatikanaji wa pesa haukuwa mgumu na mambo yalikuwa yanakwenda vizuri, lakini tangu kipindi chake kimeanza hadi leo, full majanga!

Kipindi kile alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo na tulishuhudia barabara za mitaani kuwekwa lami, na pia kuzinduliwa kwa jiji la Arusha. Haka kamuda alikobakiza bora akaishi Somalia angalau neema zirudi tena kidogo.

ahaaa!kumbe we ni miongoni wa wapiga mabomu,police embu mfuatilieni aeleze wenzake wako wapi,,
 
Kila wakati CCM a wanachama wake wamejivika mavazi ya damu za watu, uchonganish na ulaghai wa kijinga. Kama asilimia mia moja wahusika wa kulipua wanaArusha muda wote ni CCM wakishirikiana na jesh la polisi then mnasingizia Lema na Chadema mnajifariji mioyoni mwenu lakini hamtambui laana mnayoiletea Tanzania kwa uovu huu. Hamtaki kuona Arusha pametulia na hata alipokuja mkurugenzi mchapa kazi Mama Zipora mliona malengo yenu ya ki. ha. ni.si. hayana nafasi tena akaleta Arusha mpya iliyowakuna watu wengi. Kuendana na chuki zenu za ku..p..u..mba.vu mkamtoa ili asiendelee kurudisha arusha milyoiua kwa ufisadi wenu. Kwa yeyote mwenye nia njema na Arusha atakubaliana na mimi kuwa mnafanya matukio haya ili kujustfy kwa umma kuwa Lema ndo kasababisha haya mkisahau waratibu wa shughuli zote wanajijua ni CCM na Polisi.Najiuliza hivi Mkuu wa Mkoa wa Arusha bwana Milongo achunguzwe sana kwa kuwa inaonekana ndiye anayeratibu haya mambo kwa nguvu zote. Nasema hivi kwa sababu hata jana anasema bomu liliachwa bar na lilikuwa limetengenezwa kienyeji. Yewe ni mtaalamu wa mabomu? lile la olasiti ni hivyo alitoa comments the same kwa lile la mkutano wa chadema na hata kasema makachero wa FBI wapo Arucha kusaidia uchunguzi kumbe pumba tupu. Mkuu wa mkoa wa Arusha ni Mhusika achunguzwe. Pia kauli ya kikwete since azindue Jiji la Arusha mpaka leo inaendana na matukio haya ya mabomu Arusha Kikwete, na ndo mkakati mufilisi CCM kupitia kwa baadhi ya polisi . hata mfanye nn, bado Arusha ni center ya ukombozi na wanaarusha wameshakomboka kuanzia fikra na ni wapambanaji. mtasababisha maisha magumu lakini wanaarusha wanabidii ya kazi, wana uelewa, ni wang'amuzi na wenye dira. Mtabaki kujipambanua humu wenzenu wanapiga mizigo ya utalii, biashara, kilimo, madini, ufundi, shule na ufugaji. Vilaza kama ninyi mnategemea hisani ya chama chenu ndo mtakufa kwa njaa kwani hamjishughulish zaidi ya kulishwa maneno na kuja kuyatapikia hapa jukwaani hamna kazi zaidi ya kulamba ma.kalio ya mafisadi wachafu kuanzia ndani mpaka nje wa CCM. Arusha hawako ki...sen..ge kama wewe na ni wataftaji wa kipato halali na wanajua kutumia. Mlijaribu kutumia mbinu kuwaangamiza wafanya biashara mliodhani wanamsupport lema kini spirit ya wanaarusha kwa Chadema ni Kubwa kuliko unavyodhani. Hawauzi madawa ya kulevya wala sio pun.da kama ninyi mnaotumwa kupeleka mizigo ya mafisadi na kutegemea wezi wa CCM.
Kwa taarifa yako pia na Mungu hapendi kuona haki ikiminywa. Mnayoyafanyia gizani mtaumbuka tu.

Wao ndio wanatumalizia tembo wetu ili tushindwe kufanya kazi na kupata kipato halali
 
ni wewe na chadomo wenzio ndio mnaotukana! Afadhali mmejigundua labda mtajirekebisha! Pia huna kazi za kufanya hadi unafuatilia post zote humu jf, zaidi ya members 190,000? Kweli wewe POPO!
Kitu kingine wewe ni bado ni mwanafunzi wa kutumia mitandao. Hatufuatilii post zote kama wewe,huwaga post yeyote mpya ikiingia tunaiona na aliyepost na aliyoyaandika. Umeelewa kijana. sema ufundishwe kutumia mtandao. Hakuna aliyezaliwa akiwa anajua hata sisi tumefundishwa.
 
ahaaa!kumbe we ni miongoni wa wapiga mabomu,police embu mfuatilieni aeleze wenzake wako wapi,,
GEBA2013 hana lolote huyu wala msihangaike naye. Ni mshika kibendera mmoja ambaye hata katibu wa CCM wa kata yake hamjui. Mtapoteza mida yenu kumfuatilia huyu. Mpuuzeni kama wengine walivyompuuza.
 
Kwasasa tupo Bungeni tukjadili Hati ya Muungano ...Inasemekana hati iliyotolewa na Ikulu ni batili...

Msituhamishe kwenye mada....

Arusha ni Lema, Lema ni Arusha...
 
Hivi wewe A4. Ni unazo au hamnazo?
Kweli humu ndani unatuambia habari za kunge kuwa na mbunge fulani ndio kungekuwa na maendeleo? ni akili kweli au umetumwa. kwa haraka tuu nenda Manispaa wakupe program za amendeleo ya mjini na usilopoke tuuuu. we uanpo fikili watu wakienda Bungeni kupanga Budget ya mwaka huwa wana maana gani?

Juzi kumetokea Bomu hapo Arusha Night Park unataka kusema wananchi wameamua kuuwana wao kwa visa vya siasa? Hii sio siasa kaa ujue hilo.

Watu wengi walihisi mchezo mchafu wa Kibiashara yaani kuoneana wivu
Wengine wana hisi ni Al Shabab kwa kuona matokeo yale yalio tokea Nairobi na Mombasa Majuzi tuu na Kampala kwenye club moja watu walikuwa wakiangalia mpira pia miaka michache nyuma.

Sasa wewe usitake kuupotosha Umma kwa njaa zako na njia mkato ulizo zizoea sa sasa hakuna.

Asante ndugu yangu Jethro na kula like kubwa kuliko hiyo niliyoweka. Watu wengine akili zao ziko mgando kiasi kwamba hana mbadala wa kuwaza tofauti na kufikiria CHADEMA na CCM tu. Hajui kuwa utafiti unaonyesha kuna chuki za kibiashara na altenative ya alshabab? Jamani tufanye kazi tuachane na siasa uchwara ambazo zinakushushi heshima mbele ya jamii.
 
Labda muwaue wote wana Arusha ndo waipende ccm.
kwani kutokumchagua lema inamaanisha watu hawaipendi chadema, si lazima mbunge awe lema kuna hazina nyingine za chadema Arusha
 
Historia inaonyesha kabla Lema hajawa mbunge, arusha ilikuwa salama kabisa, hata upatikanaji wa pesa haukuwa mgumu na mambo yalikuwa yanakwenda vizuri, lakini tangu kipindi chake kimeanza hadi leo, full majanga!

Kipindi kile alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo na tulishuhudia barabara za mitaani kuwekwa lami, na pia kuzinduliwa kwa jiji la Arusha. Haka kamuda alikobakiza bora akaishi Somalia angalau neema zirudi tena kidogo.

1-Arusha ilikuwa salama kabisa

Kama siyo salama tena ni failures ya vyombo vya usalama kuhakikisha amani inakuwepo kwa kubaini na kuzuia/kuvunja hali hiyo.Je vyombo vya usalama vina uhalali wa kuwepo ilhali vimeshindwa kutimiza wajibu wake?

2-barabara za mitaani kuwekwa lami.

Mbunge ndo kazuia uwekwaji lami ,je kaondoka nazo barabara au ni liserekali lako linalotumia maendeleo kwa kodi za wananchi kama rushwa ya kuwarubuni watu ili walichague.Kodi zinazolipwa/wafadhili WaTza ndo zinazojengea barabara ila kwa uwezo mdogo ulonao unadhani ni favour.

3-upatikanaji wa pesa haukuwa mgumu.
Yeye Lema kazuia vipi au ni kauzibe ya CCM au uchumi wetu uliojengwa ktk misingi ya CCM?
Au ulikuwa unapata pesa kwa ule utaratibu wa David Camer.. Uganda wameukataa ambao baada ya kupigwa vita kila kona umekosa njia mmbadala?
 
Historia inaonyesha kabla Lema hajawa mbunge, arusha ilikuwa salama kabisa, hata upatikanaji wa pesa haukuwa mgumu na mambo yalikuwa yanakwenda vizuri, lakini tangu kipindi chake kimeanza hadi leo, full majanga!

Kipindi kile alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo na tulishuhudia barabara za mitaani kuwekwa lami, na pia kuzinduliwa kwa jiji la Arusha. Haka kamuda alikobakiza bora akaishi Somalia angalau neema zirudi tena kidogo.

Historia inaonyesha kabla Kikwete hajawa raisi, arusha ilikuwa salama kabisa.
 
Historia inaonyesha kabla Lema hajawa mbunge, arusha ilikuwa salama kabisa, hata upatikanaji wa pesa haukuwa mgumu na mambo yalikuwa yanakwenda vizuri, lakini tangu kipindi chake kimeanza hadi leo, full majanga!

Kipindi kile alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo na tulishuhudia barabara za mitaani kuwekwa lami, na pia kuzinduliwa kwa jiji la Arusha. Haka kamuda alikobakiza bora akaishi Somalia angalau neema zirudi tena kidogo.

Arusha ni kama Kaanani ya Tanganyika. CCM Kanani yetu mtaiona kwa macho tu, kama Musa alivyoonyeshwa kwa macho kuwa Kanani ile lakini wewe hutafika.
 
Arusha siyo ya G Lema,Arusha ni ya watanzania wote wenye nia njema na mapenzi mema na nchi yao,acheni kumpakazia Lema,hata kama ana mapungufu yake sawa lakini la mabomu mnamsingizia,yeye yupo Dodoma,na suala la usalama wa nchi ni wajibu wa kila raia mwema,Arusha ikiwa salama na tulivu ni furaha kwa kila raia,hata wafuasi wa vyama vya siasa wanahitaji mazingira ya usalama na amani ili waweze kufanya siasa zao,tuusimamie mkoa wetu kwa ukuaji wa uchumi wetu na vizazi vijavyo,amani ya mkoa huu haivurugwi na Lema bali wachache wenye nia mbaya na matakwa yao binafsi,kwani hiyo BAR ni ya wanachadema,au waliokuwa pale ni wanasiasa?
 
Back
Top Bottom