Arusha BILA G. Lema ni Neema na Baraka

Arusha BILA G. Lema ni Neema na Baraka

A4.

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
670
Reaction score
109
Historia inaonyesha kabla Lema hajawa mbunge, arusha ilikuwa salama kabisa, hata upatikanaji wa pesa haukuwa mgumu na mambo yalikuwa yanakwenda vizuri, lakini tangu kipindi chake kimeanza hadi leo, full majanga!

Kipindi kile alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo na tulishuhudia barabara za mitaani kuwekwa lami, na pia kuzinduliwa kwa jiji la Arusha. Haka kamuda alikobakiza bora akaishi Somalia angalau neema zirudi tena kidogo.
 
Kwa hiyo magamba mnailipua Arusha lengo kumfitinisha G. Lema na wananchi.!!!
 
Ni kweli kabisa Lema na Chadema wametuharibia Geneva yetu ya Afrika, sasa ni mabomu kila kukicha.
 
Lema siasa za fujo ndio zimemaliza,wana arusha sasa wanataka Amani kwa gharama yeyote.
 
Historia inaonyesha kabla Lema hajawa mbunge, arusha ilikuwa salama kabisa, hata upatikanaji wa pesa haukuwa mgumu na mambo yalikuwa yanakwenda vizuri, lakini tangu kipindi chake kimeanza hadi leo, full majanga!

Kipindi kile alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo na tulishuhudia barabara za mitaani kuwekwa lami, na pia kuzinduliwa kwa jiji la Arusha. Haka kamuda alikobakiza bora akaishi Somalia angalau neema zirudi tena kidogo.

Sijui wazazi wako wana umri gani ila kama bado wana vijiguvu nguvu wazae mtoto mwingine wewe wakakubadilishe na gunia la mkaa wapikie japo wiki mbili watakuwa wamefaidika kidogo.
 
Asili ya watu kama hawa ni chadema, so sishangai sana maana ndivyo ulivyolelewa. Kama mmethubutu kuwatukana waasis wa muungano sembuse mimi!
 
akili zako za panzi, omba ccm itoke, angalia tatzo from grassroots

tatizo ni Lema, usitoe ufahamu! Mbona moshi mjini mambo co mabaya kama arusha mjini? Au kule ni ccm? Acha kuwa kama una kichwa cha nazi!
 
Hawana ujanja huo, tubomu twenyewe wanatotumia ndo tule Nchemba aliokoteza China ndo wanawarushia watu bar. ccm nl laana ya nchi hii .

Lema janga! Halafu ana kimavi ile mbaya!
 
hii katiba mpya itupe wananchi fursa ya kumuondoa mbunge pindi tunapomchoka....lema hafai na wala hana sifa ya kuwa kiongozi...
mimi naona ni sampuli ya watu wa viroba na bange tu hamna jipya
 
Tatizo ni Lema au ccm? Hivi hizi njama za waziwazi kabisa zakumchafua Lema hamzioni? Kwanini haya yatokee lema akiwa mbunge? Viongozi wa ccm hawapend upinzani kutake ova arusha ndo mana wanaharibu arusha ionekane Lema ndo tatizo lakni ukiangalia Lema hajaleta fujo yeyote hakuna maandamano ni mabomu tu ya ccm
 
hii katiba mpya itupe wananchi fursa ya kumuondoa mbunge pindi tunapomchoka....lema hafai na wala hana sifa ya kuwa kiongozi...
Mimi naona ni sampuli ya watu wa viroba na bange tu hamna jipya

point!!!
 
Njia ya Muongo ni fupi sana hapa mmejianika kuwa kuwa ccm ndiyo walipua mabomu Arusha..
 
Back
Top Bottom