- Thread starter
- #141
Kijana mdogo unakuwa taahira kiasi hichi,are you a man or woman
reply this qn 2u!
Kijana mdogo unakuwa taahira kiasi hichi,are you a man or woman
Mtanzania bara zamani Tanganyika
Mtanzania bara zamani Tanganyika
kwanini usiisemee nafsi yako unawasemea na wengine kama mimi ambae msimamo wangu ni serikali 2? Tumia tu ustaarabu kidogo! Hata hilo neno UKAWA, nani alitoa ridhaa ya kulitumia kuniwakilisha?
mkuu, sijui kama ndio post ulilenga kui quote, sijaelewa