Arusha BILA G. Lema ni Neema na Baraka

Arusha BILA G. Lema ni Neema na Baraka

Wewe tumia kichwa kabla ya kuja hapa! Halafu mambo ya kutujia na ID tofauti tofauti koma!

Yaelekea unawashwa!

Historia inaonyesha kabla Lema hajawa mbunge, arusha ilikuwa salama kabisa, hata upatikanaji wa pesa haukuwa mgumu na mambo yalikuwa yanakwenda vizuri, lakini tangu kipindi chake kimeanza hadi leo, full majanga!

Kipindi kile alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo na tulishuhudia barabara za mitaani kuwekwa lami, na pia kuzinduliwa kwa jiji la Arusha. Haka kamuda alikobakiza bora akaishi Somalia angalau neema zirudi tena kidogo.
 
Wewe tumia kichwa kabla ya kuja hapa! Halafu mambo ya kutujia na ID tofauti tofauti koma!

Yaelekea unawashwa!

alianza kuwashwa mamako, babako akamkuna then ukazaliwa wewe chura
 
Lema ni janga arusha.
Watu kwa mamia wansjuta kumpa kura huyu mhuni wa kisiasa aliyekubuhu vurugu na maandamano.
Hata hivyo Chairman Freeman Mbowe atampiga chini mwakani Dr slaa achukue maana hajamlipa mwenyekiti Fadhila.

Lema karibu TLP.

wana arusha wamechoka sana lema. wanatamani.uchaguzi ufanyike hata kesho wamuondoe
 
Nasema kutoka moyoni, Mhujumu namba 1 wa arusha si mbunge, NI SERIKALI yenyewe na ilifanya vile ili wananchi tuamini kile wanachokihubiri majukwaani, mahubiri na matendo yafanane. Lakini kwa kuwa hawakutumia japo akili hata ya kusaidiwa na wenye akili hawakujua kama ndo wanaharibu uchumi si wa arusha tu bali wa taifa. Huu unafiki wa kufikisha ujumbe kwa njia ya uani ni jadi ya chama tawala kwa kuwa wanaiga mambo wasioyafaham. Hata leo chuki zinazohubiriwa na ccm bungeni juu ya s3 ni tabia ile ile ya kupitia uani kufikisha ujumbe kuwa eti serikali 3 zitaua muungano, kivip, hawaelezi. Nasikitika wananchi tunalazimishwa vitu ambavyo havipo kwenye rasimu yetu
 
kwanini usiisemee nafsi yako unawasemea na wengine kama mimi ambae msimamo wangu ni serikali 2? Tumia tu ustaarabu kidogo! Hata hilo neno UKAWA, nani alitoa ridhaa ya kulitumia kuniwakilisha?
 
Makada wengi wa ccm ni matahira kama viongozi wao hawana ushaidi wa kile wanacholeta jamvini kama wewe A4,umeja ukasuku hujengi hoja ni neema na baraka gani mnapata asipokuwepo lema hutaji,umekalia umbea tu na pumba zimekujaa,una ubongo wa konokono
 
tatizo ni Lema, usitoe ufahamu! Mbona moshi mjini mambo co mabaya kama arusha mjini? Au kule ni ccm? Acha kuwa kama una kichwa cha nazi!

Funguka zaidi great thinker ni kwa jinsi gani Lema ameiharibu Arusha? Tuwekee na mifano halisi isiyo na shaka.
 
we a4 nakujuaga tulisomaga wote naura mlikuwaga mapacha na mwalimu mkuu mamaako tulikuwa tunamuitaga kinyonyoki,kinachonishangaza we mkuu ndugu yangu mbona hubadiliki zile tabia za kinafki mbona huachi,grow up mangi.fanya kazi komaa utazipata chapaa na sio Lema atakaye kuletea ugoigoi huo sasa komaa mkuu
 
ccm wameuwa viwanda vyote arusha wakaanzisha maviwanda ya mikate na net ambavyo ni waindi wanawavurugia warangi uko maviwanda ya kiuwaji,kwa sumu na virusi then unategemea et lema akuletee neema.
 
we a4 nakujuaga tulisomaga wote naura mlikuwaga mapacha na mwalimu mkuu mamaako tulikuwa tunamuitaga kinyonyoki,kinachonishangaza we mkuu ndugu yangu mbona hubadiliki zile tabia za kinafki mbona huachi,grow up mangi.fanya kazi komaa utazipata chapaa na sio Lema atakaye kuletea ugoigoi huo sasa komaa mkuu

wewe una pepo! Mimi sijasoma tz
 
Mimi nilimchagua Lema na kamwe sintoacha kumchagua kamanda wakweli Lema ambaye si mnafki kama wabunge wa ccm!
 
Back
Top Bottom