- Thread starter
- #21
mtaumia sana na si wa arusha lema tunampenda sana
usimsemee mwenzio, mwapendana ninyi wenyewe coz mnaridhishana kimini kabang...ndo zile zile data zenu feki za kusema wananchi wote!
mtaumia sana na si wa arusha lema tunampenda sana
Lazima Milaa na Viroba vimekuchanganya,unashindwa kuwatofautisha G.Lema na Mkuu wako wa mkoa!
Lema janga! Halafu ana kimavi ile mbaya!
wee nawe! Cjui umetokea kwenye pipa la mbege au gongo! Tangu 2010 mkuu wa mkoa ndo huyo aliyepo? Kapige mswaki kwanza unaleta harufu ya kinywa huku!
Asili ya watu kama hawa ni chadema, so sishangai sana maana ndivyo ulivyolelewa. Kama mmethubutu kuwatukana waasis wa muungano sembuse mimi!
ndugu, sasa naona propaganda zilizo kuwepo zimeliwa na nzige, zilizo baki zikakaliwa na parare na zilizo salia zikaliwa na madumadu! Busara ni muhimu, eti barabara zimeachwa bila matengenezo????....Ndiyo!, na nani??? Na kwanini? Hujuma zinabainishwa! Anayelipua mabomu yupo wazi na kamwe hawezi kujikamata!!!Historia inaonyesha kabla Lema hajawa mbunge, arusha ilikuwa salama kabisa, hata upatikanaji wa pesa haukuwa mgumu na mambo yalikuwa yanakwenda vizuri, lakini tangu kipindi chake kimeanza hadi leo, full majanga!
Kipindi kile alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo na tulishuhudia barabara za mitaani kuwekwa lami, na pia kuzinduliwa kwa jiji la Arusha. Haka kamuda alikobakiza bora akaishi Somalia angalau neema zirudi tena kidogo.
Lema janga! Halafu ana kimavi ile mbaya!
Kweli kama hizi ndiyo thinking ya CCM na wanaCCM basi kweli kama alivyosema jana Mwenyekiti Mbowe, utawala unapofikia mwisho Mungu huupatia hekima ya upofu kiasi cha kuanza kupambana na hata wale wale wanaotakiwa kuwaongoza.
Kwa topic yenu hii mmedhihirisha vitu kadhaa kuwa mmekuwa mkifanya matukio hayo ya kulipua na kuua watu huku mkiacha wengine walemavu, yatima na wajane kwa sababu mnafikiri mtaweza kumfitinisha Lema na pengine CHADEMA kwa watu wa Arusha. Very wrong strategy kwa sababu badala ya kuwatisha wanaArusha mmekuwa mkiwakomaza zaidi na kuwaunganisha, kwamba kwa kupigania matumaini na haki katika nchi yao, they all face the same fate hadi mkoloni mweusi aondoke come next year.
Lakini pia mmekuwa mkidhihirisha kuwa kumbe uhai wa CHADEMA na uwakilishi was mbunge wa Arusha vinawasumbua sana. Kwa sababu ukiona adui yako analalamika basi unakazia hapo hapo. Ukiona adui anakusifia jitafakari mara mbili sana.
tatizo ni Lema, usitoe ufahamu! Mbona moshi mjini mambo co mabaya kama arusha mjini? Au kule ni ccm? Acha kuwa kama una kichwa cha nazi!
tatizo la mateja kama wewe mtu akikataa kukuhemea kichogoni unajenga chuki..
ninawashangaa sana kuleta siasa kwenye vitu hatari kama hivi.
kwa hiyo lengo lako hapa Arusha inalupuliwa kwa sababu ya siasa na Lema ni mbunge? basi kama ndio huo ukweli ni CCM ndio wanawaua wana wa Arusha kuwakomoa kwa nini hawajawachagua?
Ninashindwa kuelewa ni kwa nini umefikiri kwenye siasa mara moja, unaweza kuwa na sababu au unajua ni nani amelipua mabomu, maana kama bomu linalipua bar kuna mambo mengi inaweza kuwa hata ni wivu wa biashara mimi sijui.
Sasa uki justify sababu wana Arusha wamechagua upinzani ndio maana wanauawa hawatakuelewa na wataendelea kuwachagua na ndio maana baada ya kulipuliwa Soweto ambapo ni mita 100 tu kutoka hapo Arusha nightpark waliwachagua tena Chadema.
Arusha ni ndogo baada ya muda mchache kila kitu kitakuwa wazi
ukiona mtu mzima anatukana hovyo ujue ndio mwisho wake kuwaza na hawezi kuwa na wazo mbadala. mfano mzuri ni wewe na Kama huamini fuatilia post zako huku jukwaani. Kama unawaza wanasiasa watakuletea maisha mazuri endelea kuota. Good morning
Pointi iko hapo kwenye red, Mwigulu anayajua yote hayo vizuri.