Asante ndugu yangu Jethro na kula like kubwa kuliko hiyo niliyoweka. Watu wengine akili zao ziko mgando kiasi kwamba hana mbadala wa kuwaza tofauti na kufikiria CHADEMA na CCM tu. Hajui kuwa utafiti unaonyesha kuna chuki za kibiashara na altenative ya alshabab? Jamani tufanye kazi tuachane na siasa uchwara ambazo zinakushushi heshima mbele ya jamii.
1-Arusha ilikuwa salama kabisa
Kama siyo salama tena ni failures ya vyombo vya usalama kuhakikisha amani inakuwepo kwa kubaini na kuzuia/kuvunja hali hiyo.Je vyombo vya usalama vina uhalali wa kuwepo ilhali vimeshindwa kutimiza wajibu wake?
2-barabara za mitaani kuwekwa lami.
Mbunge ndo kazuia uwekwaji lami ,je kaondoka nazo barabara au ni liserekali lako linalotumia maendeleo kwa kodi za wananchi kama rushwa ya kuwarubuni watu ili walichague.Kodi zinazolipwa/wafadhili WaTza ndo zinazojengea barabara ila kwa uwezo mdogo ulonao unadhani ni favour.
3-upatikanaji wa pesa haukuwa mgumu.
Yeye Lema kazuia vipi au ni kauzibe ya CCM au uchumi wetu uliojengwa ktk misingi ya CCM?
Au ulikuwa unapata pesa kwa ule utaratibu wa David Camer.. Uganda wameukataa ambao baada ya kupigwa vita kila kona umekosa njia mmbadala?
Historia inaonyesha kabla Lema hajawa mbunge, arusha ilikuwa salama kabisa, hata upatikanaji wa pesa haukuwa mgumu na mambo yalikuwa yanakwenda vizuri, lakini tangu kipindi chake kimeanza hadi leo, full majanga!
Kipindi kile alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo na tulishuhudia barabara za mitaani kuwekwa lami, na pia kuzinduliwa kwa jiji la Arusha. Haka kamuda alikobakiza bora akaishi Somalia angalau neema zirudi tena kidogo.
Tatizo ni Lema au ccm? Hivi hizi njama za waziwazi kabisa zakumchafua Lema hamzioni? Kwanini haya yatokee lema akiwa mbunge? Viongozi wa ccm hawapend upinzani kutake ova arusha ndo mana wanaharibu arusha ionekane Lema ndo tatizo lakni ukiangalia Lema hajaleta fujo yeyote hakuna maandamano ni mabomu tu ya ccm
Tatizo ni Lema sio ccm.Mifano ni mingi,Moshi mjini inamilikiwa na chagadema kwa kipindi kirefu,hakuna mabomu pale,kwa Tundu Lissu ni chagadema ,hakuna mabomu pale,Kawe kwa dada Mdee ni chagadema,hakuna mabomu kule,jirani yake ,ni mjomba Mnyika chagadema,hakuna mabomu kule.Ukienda kwa Slaa ni chagadema,umewahi kusikia mabomu kule?
Labda twende Kigoma (ingawa najua nitatukanywa) kwa uncle Zitt0,kuna mabomu kule.Nilisahau kidogo kwende kwa mwenyekitu wa chagadema pale Hai ,umewahi kusikia hata kwa bahati mbaya kuwa bomu la Arusha liliangukia kule?
Naweza kuongolea majimbo yote ya wabunge machachari was chagadema, lakini hakuna kurupushani za mabomu.
Asili ya watu kama hawa ni chadema, so sishangai sana maana ndivyo ulivyolelewa. Kama mmethubutu kuwatukana waasis wa muungano sembuse mimi!
Njia ya Muongo ni fupi sana hapa mmejianika kuwa kuwa ccm ndiyo walipua mabomu Arusha..
Aliyefunua chupi nyingi za wanawake sasa amebakisha miezi 18 tu atoke magogoni.Lema siasa za fujo ndio zimemaliza,wana arusha sasa wanataka Amani kwa gharama yeyote.
Hata kwa sh. 100/= ?... wana arusha sasa wanataka Amani kwa gharama yeyote.
Mtoa mada umejamba cheche zinakuchoma mwenyewe,kaah tuachieni arusha yetu na lema wetu,chadema arusha haibanduki ngoo,mtangoja sana na izo chuki zenu za waziwazi,
tatizo ni Lema, usitoe ufahamu! Mbona moshi mjini mambo co mabaya kama arusha mjini? Au kule ni ccm? Acha kuwa kama una kichwa cha nazi!
mbona mlishindwa kuwanyima kura madiwani wa cdm ?yaani we acha tu, mi natamani hiyo mwakani iwe kesho aondoke tumemmchokaje?????????? yaani ni full majanga
Umeona ehh!!!!!! Kigugumizi kipo hapo?hahaha...hapo ndo mwisho wa kigugumizi chako co?