.wanawake mnataka nini kwenye ndoa ili mtulie??
View attachment 3540469
sahii ungekuta ndugu wa jamaa wanandaa utaratibu wa mazishi.
Kuishi na mtu chumba kimoja sio kazi nyepesi lakini unajua inabidi ujivue akili kabisa kabisa iwe nusu chizi nusu kichaa, mwanaume mwenye akili hua haoi au hua anachelewa sana kuoaNdiyo ujiue sababu mke katoroka aah, chukua mke mwingine tulia naye kwani kakushikia figo huyo🤔
Sanaa, yaani mtu uning'inize mbupu juu ya kamba kisa ufara tu.mh!
hii inatia mashaka sana
Tatizo siku hizi mapenzi yana ushirikina, mtu anasahahu kuwa kakuweka kwenye chupa au kakuroga, alafu anaamua kukuacha bila kuondoa uchawi wake .. shida ndipo inaanzia hapowanawake mnataka nini kwenye ndoa ili mtulie??
View attachment 3540469
sahii ungekuta ndugu wa jamaa wanandaa utaratibu wa mazishi.
Ni upendo tu ndiyo nguzo kuu ya kila kitu mkuumnataka ni nini ili mtulie kwenye ndoa?