Ni kama hatupractice shooting kabisa piaHatuwezi kwenda mbali kwa jinsi tunavyo tengeneza attacks. Lazima tuwe na option zaidi ya moja
Shindwaa.!!All EPL teams could be out today
Unajua yan sielewag timu yngu tunakujaga kufeli wapi aloo acha kabisa naumia mpaka inabidi nicheke tuUsicheke sana bana, mwenzako sichelewagi kulia 😥
Kwendraaa huko,All EPL teams could be out today
Tayari falah wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilambe block na hapa KENGE wewe.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Usijilinganishe na Guardiola angalia statistics hapa hata akitolewa anaonekana amekufa kiume sio wewe umekufa kike.All EPL teams could be out today
😆😆😆😆😆Erythrocyte njoo uone kocha wenu wa mchongo Arteta anavyobugia kichapo toka kwa the bavarians.
Ametepeta kila idara, yaani ni vilio tu pande zote
Mimi nimelia nimeamua nicheke kwa hasira, kesho atakayenikwaa atajuta 🤣🤣🤣🤣🤣Unajua yan sielewag timu yngu tunakujaga kufeli wapi aloo acha kabisa naumia mpaka inabidi nicheke tu
vipi timu yako inaendelea na mashindano gani ya kimataifaHamis na genge lake wako wapi ?
We Hamis amkaa
Ninyi Kenge wazee wa aerio dueli mnadhani Bayern ni Burnley au sio ?
😂😂😂😂Mimi nimelia nimeamua nicheke kwa hasira, kesho atakayenikwaa atajuta 🤣🤣🤣🤣🤣
Wanaotaka kugombana na mimi wote waje leo tumalizane kabisaaaa.!!!