IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,805
- 7,258
Hivi huwa mpo serious kabisa mnategemea Odegaard awape uefa???? Tafuteni attacking mid wa kueleweka
😂😂😂😂Mimi nimelia nimeamua nicheke kwa hasira, kesho atakayenikwaa atajuta 🤣🤣🤣🤣🤣
Wanaotaka kugombana na mimi wote waje leo tumalizane kabisaaaa.!!!
Ass'anal Motto; Next season.Japo Bayern katutoa ila kwa namna wanacheza, inabidi wasali sana Madrid apite. City hii ya kina Haaland itakwenda kuwapa kichapo cha mbwa koko hasa. Arsenal ni kama hatukua serious kupambana kupata ushindi, we were too scared to make reasonable attacks. All in all we have learned the hard way. Let us meet next season once again.
Hatari 😂😂😂😂😂😂😂😂
kila mwaka tunasemaga hivi...........All in all we have learned the hard way. Let us meet next season once againJapo Bayern katutoa ila kwa namna wanacheza, inabidi wasali sana Madrid apite. City hii ya kina Haaland itakwenda kuwapa kichapo cha mbwa koko hasa. Arsenal ni kama hatukua serious kupambana kupata ushindi, we were too scared to make reasonable attacks. All in all we have learned the hard way. Let us meet next season once again.
Arsenal ni mbwa tu🤣😂😂😂Umetoka Uefa sasa
Wazee wa Kono la Nyani poleni kwa kuchezea Kono la Sweta la Mjerumani.
Partey efusiiiiiiCheli kalio na mwani tesa mtulie
View attachment 2966826
Kijana city anapambana na madrid kivyaovyao wewe pumzika tu umetoka umetokaJapo Bayern katutoa ila kwa namna wanacheza, inabidi wasali sana Madrid apite. City hii ya kina Haaland itakwenda kuwapa kichapo cha mbwa koko hasa. Arsenal ni kama hatukua serious kupambana kupata ushindi, we were too scared to make reasonable attacks. All in all we have learned the hard way. Let us meet next season once again.
Leo ndo mwanzo na mwisho wa kuja na takwimu za kipuuzi.
Mara ohh Kai ana jua, ana press kushoto.
Hizo zote ni nonsense tupu tu,
eti ana press kushoto dah si aliletwa kwa uzoefu wake wa Chelsea mixer urefu aweze kuwin aerial duels nyingi mbona kama mnampa majukumu mengine wajamenikwaiyo mnamtaka kipara?Wale mliokuwa mnasema bayern ni wepesi kuliko atletico madrid nadhani sasa tumeelewana, gemu na bayern haitokaa ije iwe nyepesi kwetu labda tuwe na kocha pep Guardiola vinginevyo bayern ni timu tishio sana kwetu, sio ya kuichukulia poa.