Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,852
- 45,362
Nye nye nye
Kwendraaa huko,All EPL teams could be out today
Tayari falah wewe π€£π€£π€£π€£π€£π€£Nilambe block na hapa KENGE wewe.
ππππππππππ
Usijilinganishe na Guardiola angalia statistics hapa hata akitolewa anaonekana amekufa kiume sio wewe umekufa kike.All EPL teams could be out today
πππππErythrocyte njoo uone kocha wenu wa mchongo Arteta anavyobugia kichapo toka kwa the bavarians.
Ametepeta kila idara, yaani ni vilio tu pande zote
Mimi nimelia nimeamua nicheke kwa hasira, kesho atakayenikwaa atajuta π€£π€£π€£π€£π€£Unajua yan sielewag timu yngu tunakujaga kufeli wapi aloo acha kabisa naumia mpaka inabidi nicheke tu
vipi timu yako inaendelea na mashindano gani ya kimataifaHamis na genge lake wako wapi ?
We Hamis amkaa
Ninyi Kenge wazee wa aerio dueli mnadhani Bayern ni Burnley au sio ?
ππππMimi nimelia nimeamua nicheke kwa hasira, kesho atakayenikwaa atajuta π€£π€£π€£π€£π€£
Wanaotaka kugombana na mimi wote waje leo tumalizane kabisaaaa.!!!
Ass'anal Motto; Next season.Japo Bayern katutoa ila kwa namna wanacheza, inabidi wasali sana Madrid apite. City hii ya kina Haaland itakwenda kuwapa kichapo cha mbwa koko hasa. Arsenal ni kama hatukua serious kupambana kupata ushindi, we were too scared to make reasonable attacks. All in all we have learned the hard way. Let us meet next season once again.
Hatari ππππππππ
kila mwaka tunasemaga hivi...........All in all we have learned the hard way. Let us meet next season once againJapo Bayern katutoa ila kwa namna wanacheza, inabidi wasali sana Madrid apite. City hii ya kina Haaland itakwenda kuwapa kichapo cha mbwa koko hasa. Arsenal ni kama hatukua serious kupambana kupata ushindi, we were too scared to make reasonable attacks. All in all we have learned the hard way. Let us meet next season once again.