Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

View attachment 848157

Full name: Arsenal Football Club

Nickname(s): The Gunners

Founded: 1 December 1886

League: Premier League

Website: arsenal.com

View attachment 848163
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch 105m x 68m

View attachment 1538867
Owner: Stan Kroenke

View attachment 848173
Chairman: Sir John Chippendale "Chips" Lindley Keswick

View attachment 1511007
Head Coach: Mikel Arteta​

Arsenal Trophies:
League Tittles: 13

First Division/Premier League Champions: 13 (1930/31, 1932/33, 1933/34, 1934/35, 1937/38, 1947/48, 1952/53, 1970/71, 1988/89, 1990/91, 1997/98, 2001/02, 2003/04)

European Trophies: 1
UEFA Cup Winners': 1 (1993/94)

FA Cup Trophies: 14 (1929/30, 1935/36, 1949/50, 1970/71, 1978/79, 1992/93, 1997/98, 2001/02, 2002/03, 2004/05, 2013/14, 2014/15, 2016/17, 2019/20)

League Cup: 2 (1986/87, 1992/93)

Community Shield: 16
FA Charity Cup/FA Community Shield: 15 (1930, 1931, 1933, 1934, 1938, 1948, 1953, 1991, 1998, 1999, 2002, 2004, 2014, 2015, 2017, 2023)

Other Trophies
League Centenary Trophy: 1 (1988)
Inter-Cities Fairs Cup: 1 (1969/70)

View attachment 1542905
Arsenal Football Club celebrate as they Crowned The Emirate FA Cup Winners(2020)

View attachment 2682735
Arsenal Premier League Timetable of 2023/24

Follow this thread for team updates!
Hizi games tatu za mwisho tushinde tu halafu city wapoteze 1 na draw 1 tuwe mabingwa ee baba
 
Kwenye hii fixtures yetu mechi yenye faida na sisi ni moja tu dhidi ya Arsenyo.
Ni bora tufungwe mechi zote zilizosalia lakini tupate points3 muhimu kwa hizi Kima za London.
Hakuna kitu inanipa raha kama kuona sisi ndio sababu ya Arsenyau kujikatia tamaa ya maishaView attachment 2979609
Kama raha yako iko hapo, basi hesabu tu maumivu. Mara kumi ununue hata kasichana na pakiti ya SM ujiliwaze kwa kilevi kuliko hawa manyumbu mbele ya wababe wa ligi.
 
Usisahau umri wa Saka ni 35years na wa Madueke ni 22years
20240503_152625.jpg
 
Hamisi a.k.a Gwiji la Highbury tulitegema baada ya game ya Spurs utupe detail kama hizi chini

Unalikumbuka lile goli lililokataliwa la Havertz dhidi ya Spurs? Before pasi ya Odegardinho kwa Kai, rudi nyuma wakati move inaanza.

Tomiyasu from LB position anapata mali, anaipiga kwa Thomas Partey akiwa as CM. Utamuona Ben White akimpa ishara Thomas Partey kwamba aipoge mali kwenda kwa Saka, RW, ambayo ndo ilikuwa easy pass

Thomas Partey anaona ishara ya Ben White, lakini ni kama vile anamwambia tulia wewe, mimi ndo mkali wa hizi kazi. Af anaipiga mali ndefuuu kuelekea kwa Odegard badala ya Saka. Odegardinho was slightly offside hatimaye goli la Kai likawa ruled out.

Hapo gwiji la Highbury lingetoa maelezo ya kutosha huku likutimia emoji yake pendwa ""

Video hii hapa chini
 
Kama nilivyosema huko nyuma, mechi ya kesho ni ngumu kuliko mechi zote zilizobaki
Ina maana vs Nyumbu ni game rahisi kuliko na kina Solanke. Nyumbu hawatoipenda hii.

Ila tusisahau katika hizo mechi 10 za mwisho, 6 tulizoshinda, ni moja tuu ndo tumemfunga kwake Nyumbu. Tena ni 2020, msimu wa Coronavirus, kukiwa hamna mashabiki.

Na kama mnavyojua, wakati mwingine hizi game hazihusiani na form/ubora wa timu husika.

Ila mwisho wa siku, kichapo kwa Nyumbu kipo pale pale
 
Msimu huu hamjapata key injuries kenge nyie
USHAURI WA BURE KWA MASHABIKI WASIO WA ARSENAL KUHUSU MECHI ZILIZOBAKI.

1. Kusitisha kuangalia mechi zilizobaki za CITY NA ARSENAL

2. Kukusanya dawa zote ndani ya nyumba na kwenda kuzitupa mbali au kuzichoma moto

3. Kukusanya kamba zote, mtandio, kanga na mkanda ndani ya nyumba na kwenda kuvichoma moto.

4. Ondoa vitu venye ncha kali kama kisu na bisisi nyumbani kwako na kwenda kuvitupa mbali.

5. Mwisho usipite kwenye madaraja marefu au karibu na visima virefu.

MWISHO WA MSIMU LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA, UTANISHUKURU
 
Hamisi a.k.a Gwiji la Highbury tulitegema baada ya game ya Spurs utupe detail kama hizi chini

Unalikumbuka lile goli lililokataliwa la Havertz dhidi ya Spurs? Before pasi ya Odegardinho kwa Kai, rudi nyuma wakati move inaanza.

Tomiyasu from LB position anapata mali, anaipiga kwa Thomas Partey akiwa as CM. Utamuona Ben White akimpa ishara Thomas Partey kwamba aipoge mali kwenda kwa Saka, RW, ambayo ndo ilikuwa easy pass

Thomas Partey anaona ishara ya Ben White, lakini ni kama vile anamwambia tulia wewe, mimi ndo mkali wa hizi kazi. Af anaipiga mali ndefuuu kuelekea kwa Odegard badala ya Saka. Odegardinho was slightly offside hatimaye goli la Kai likawa ruled out.

Hapo gwiji la Highbury lingetoa maelezo ya kutosha huku likutimia emoji yake pendwa ""

Video hii hapa chiniView attachment 2979838

Hamisi bhana ufike wakati aache utoto. Sasa tunakosa mauchambuzi ya hali ya juu kizembe zembe tu aisee.
 
Back
Top Bottom