Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naangalia kabumbu ya wanawake Arsenal vs City. Ninachokiona, ikitokea arsenal women wakacheza na taifa stars ya sammata, stars inaweza pigwa hata goli 7-0
Mademu wetu wamefika semifinals za UEFA champions league ya wanawake Kwa kuwatoa mademu wa Bayern. Ingawa kuna hofunwanaweza kukosa kuingina next season.
Wanastahili pongezi ila sioni wakiifunga Stars 😄😄
 
Tukimpiga Liverpool for me shughuli itakuwa imeishia hapo

Tutahitaji kwenda kutangazia ubingwa etihad

Kwa Mpira tuliocheza Emirates vs City Basi tunaenda kumuua pale pale kwake
Sijui wenzangu wanaonaje ila hii Arsenal si timu yakupenda kucheza nayo. Wacha tuone kwenye mechi ya Anfield, toka msimu umeanza watu wanasema ohh bado Liverpool, mara bado Chelsea, mara bado City.

Kati ya Liverpool kuna moja itaumia ndiyo watajua.
 
Kitu ambacho Liverpool watahitaji kufanya watakapocheza na Arsenal Ni wazuie tu kufungwa mabao zaidi ya manne maana kupigo Chao Kiko pale pale.
Mkuu, unaona kama ninavyoona mimi. Ramsdale kuna clip nilikuwa naangalia anasema wao walishaandaliwa kwa kelele za Anfield hawana chakupoteza.

Hii si Arsenal yakuchukulia poa, Arnold ana hali mbaya wakisema wafunguke au wapress kwa kutegemea mashambulizi kwa Allison Becker wameisha.
 
Leicester imeachana na Brendan Rodgers

Commentators wanatangaza kwenye hii mechi ya Soton vs Hammers
 
Halafu anatokea mtu mmoja anatuchukulia poa Sana

HII INAITWA POSIONAL PLAY ,INAWEZA KUWACHUKUA HATA MIAKA MINNE NDIO MKAWEZA KUICHEZA ,

NDIO MAANA NI TIMU CHACHE SANA ZINAFANYA POSIONAL PLAY KWA USAHIHI

This photo is killing me.

Our RB (white) is at RW.

Our ST (jesus) has dropped into #10.

Our RM (Odegaard) is at LM.

Our LCM (xhaka) is at SS.

Our RW (Trossard) is at ST.

Our LB (Zinny) is at CDM.

And this leads to a goal.

Arteta has built something crazy

IMG_20230402_142705.jpg
 
Tujitahidi kuwaangalia wachezaji wakicheza mechi nzima kabla hatujasema wanafaa Arsenal. Tuache kutegemea youtube au stats kufuatilia mchezaji.

Kwa hii first half ya Soton na Hammers kwa jinsi mid yetu inacheza ni sahihi kumchukua Lavia kumtrain kwenye traits za Partey kuliko Rice.
 
Shida iliyopo siku hizi ni kuangalia wachezaji YouTube
 
Ndio maana tukaleta Zinny na Jesus wenye experience

Angalia jana first half timu ilikua haieleweki inacheza kitu gani ila Gabby kachukua mpira kaingia nao kwenye box na kusababisha penati

Tunapoelekea huenda tusiwe tunacheza kwa jinsi tulivyozoea ila muhimu itakua alama tatu
Kuna watu wanamuona et JESUS ni mchezaji wa kawaida nashangaa sana,game ya Jana Jesus ndio kaifungua,kile alichofanya kwenye box la wapinzani tukapata penalty ndio ulikuwa mwanzo wa kila kitu,ile game na newcastle ya round ya kwanza angekuwepo tungepata magoli,kitu kikubwa kuhusu jesus anaweza kuchambua safu nzima ya ulinzi ya team pinzani akawaexpose watu wengine ndio wakata magoli kama kina odegard.so uwepo wake na TP pale mbele unanipa assurance ya game yetu na liverpool,man city and newcastle.
 
mapema sana kusema ivyo,
usiendeshwe na hisia za wivu kisa tulimkosa mudryk, binafsi naona kipaji chake kikiwa dhahiri shahiri sema mazingira tu aliyoyakuta chelsea
Mimi binafsi nilikuwa mmoja wapo wa watu walikuwa wanamkubali sana mudryk,ila nimeenda kuangali vizuri video zake youtube nimegundua hata one v one mpala mpira uwe na kasi ndio anaweza kumtoka mtu,yeye ni mzuri kwenye kukimbia na mpia na kuachia pasi,lakin kwa team zinaweka low block ndio utaona ni mchezaji wa kawaida tu
 
Kuna watu wanamuona et JESUS ni mchezaji wa kawaida nashangaa sana,game ya Jana Jesus ndio kaifungua,kile alichofanya kwenye box la wapinzani tukapata penalty ndio ulikuwa mwanzo wa kila kitu,ile game na newcastle ya round ya kwanza angekuwepo tungepata magoli,kitu kikubwa kuhusu jesus anaweza kuchambua safu nzima ya ulinzi ya team pinzani akawaexpose watu wengine ndio wakata magoli kama kina odegard.so uwepo wake na TP pale mbele unanipa assurance ya game yetu na liverpool,man city and newcastle.
Unawaweka Newcastle? 🙄🙄

Bro first round na Newcastle walijafibu kufunguka, in 15 minutes Howe akaona watapotea. Akapaki basi.

Na kuna siku nilisema timu siku hizi hazitukabii juu Fulham learnt it the hard way. City kutususia possession they knew nini tunaweza fanya ukitaka enda mguu kwa mguu na Arsenal ya sasa
 
Back
Top Bottom