Pamoja broWakongwe wa hizi kazi mawasialimu kwa jina la jamuhuri ya Emirates stadium ....

Murphy alisema kuwa ilikuwa "ngumu" kucheza dhidi ya Zincheko, alisema kuwa Zincheko anatupita "kati" yatu na Sean Longstaff na ukiangalia hakuwa na haki ya kufanya hivyo.
kwa Saka na Martinelli,
Wachezaji hawa watatu bila shaka ndio chachu ya kugombea taji kwa Arsenal, na wanaonyesha ni shida ngapi husababisha kwa timu zingine.Jezi tamu hii.
Ya Home ,Adidas Wanataka kutuharibiaJezi tamu hii.
Unashangilia draw ?Arsenal 0 Newcastle 0
Mechi yangu Bora Hadi Sasa
Newcastle walikuja kwa mazoea ,waliingia na 4-3-3 ,Ndani ya dakika 10 wakaona shughuli Ni ngumu , Eddie Howe kwa Mara ya kwanza toka msimu uanze akabadili mfumo kwenda 5-4-1 .
Arsenal walikuwa wanakuja Kama nyuki muda wote , wakitumia 2-3-5
Newcastle walikaba vzr wings huku Martinell & saka wakizungukwa na Mabeki wawili had watatu kila wanapopata mpira
Newcastle wakaanza kupoteza muda na kuomba mpira uishe .
Hii ndio mechi nikaanza binafsi Kama mshabiki wa Arsenal kuiogopa Arsenal
View attachment 2575473
Jezi kama za timu za South Africa. Hii hapana