hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,254
- 26,641
Nasikia Rice Ni kwa ajili ya position ya xhakaTujitahidi kuwaangalia wachezaji wakicheza mechi nzima kabla hatujasema wanafaa Arsenal. Tuache kutegemea youtube au stats kufuatilia mchezaji.
Kwa hii first half ya Soton na Hammers kwa jinsi mid yetu inacheza ni sahihi kumchukua Lavia kumtrain kwenye traits za Partey kuliko Rice.
Lavia na Caicedo Ni rahisi Sana kuwa wabadala wa Partey , kwa ninavyoangalia mechi




