verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,150
- 6,256
Jesus tukubali tukatae ila kwa sasa hatupaswi kumtegemea aanze kama CF, anaweza kuanza kama RW/LWI'd choose Jesus all day over Kai. Kai afunge au asifunge kwangu haibadili kitu.
Uchezaji wake kwa ujumla hawezi kumuweka level moja na Jesus.
Siwezi kukulaumu, magoli/matokeo mazuri ndio yanafika madhaifu yake huenda hujaliona hilo mpaka leo.