Wapi hapo kunamtambulisha kuwa ni chelsea fan?Hii reaction kutoka kwa chelsea fan nilicheka sana 😂
View attachment 3664765
Daah wabongo mna majibu, Yani Hadi hio red card moja imelinganishwa kwmb still Bdo Hana kombe la Epl🤣🤣nyingi kuliko premier ligi alizonazo
Kazia hapo; kwenye world cup iliyoisha yeye na Kipa Raya hawakuwa 1st eleven so hawana mchango wa moja Kwa moja kwenye timu Yao taifa spainzubimendi ana world cup na ligi kuu ya mfalme caicedo ana kadi nyekundu nyingi
Hakuna namna.Kupata striker wa viwango nyakati hizi ni kazi sana, tuishi na waliopo tu.
Ana u ahueni tena mkubwa tuMbona Odegard haujamweka hapo
Huwa najiuliza ni kwamba hajui ama ni kakiburi kake, mradi aoneshe utofauti?Eh 😂 ila mawazo ya Arteta na ya shabiki hayatakuja kufanana.
Mimi sub nilizoona dawa jamaa kachange upepo kabisa
Usisau hata Gabriel Maghaleas alibidi apewe Kadi ht ya njano Kwa mguu uliompiga kipa "Dibu" japo itatafsirika hakudhamiriaHii ilibidi iwe kadi ya pili kwa bwana Palmer
Exactly bro unafuatilia, Jana nilikuwa kibanda umiza nilimwambia jamaa jirani, namtoa assist yuleyule Tzolis na mfungaji odegaard yuleyule na staili ya pasi ya goli na ufungaji ni uleule.Hilo goli walipigwa City pia
Arsenal wanamchezaji anaitwa Miles? Au ndo huyo dogo Lewis Skelly..Hii yaitwa kwa kiingereza 'lying down the marker' yaani wachora mstari kabisaa mapema usubuhi.
Arsenal kwa sasa ni timu kamili yenye ukamilifu kila idara na hiyo twasema tena kwa kiingereza 'Completeness'.
Hiyo yamaniisha ndani ya uwanja Arsenal yaonekana ila wachezaji tisa au 10 wakiwa kila mahala huku wakibadilishana nafasi.
Hii huwachanganya timu pinzani kwani hawafahamu Calafiori au Milles au Saka, au Odegaard au Ben White hucheza nafasi zao kivipi.
Chelsea yaonyesha ni timu inoelekea kuwa timu nzuri lakini leo imeonyesha udhaifu mkubwa kwenye safu ya ulinzi na sehemu ya kiungo, na Arsenal wametumia udhaifu huo.
Magoli yote ya Havertz na Odegaard ni katika kuonyesha udhakfu wa sehemu hizo mbili.
Arsenal kuruhus goli la kwanza ndani ya dakika tano ni kukosa umakini pale mwanzo hakuwa 'switched on' pale kipenga cha mwamuzi Chris Kavanagh kilipopigwa kuanza game.
COYGs.
James mtu, waliobak 99% ni average playersAkili zimeanza kuwarudia sasa kwamba tatizo siyo Caicedo wala Colwill kutokuepo View attachment 3664784kwasababu washapokea kipigo na hizo punda zikiwa uwanjani.
Kwamba Martinez siyo kipa wa kufanya Sanchez aonekane kilaza ila wote ni vilaza.
Team yenu ilibebwa Gabriel alitakiwa ale red card kwa kuhatarisha afya ya Kipa wetu kwa ule mguu aliyomkita Martinez ukiachana na hapo Refa alikuwa atoi kadi za njano Konsa kacheza rafu tano ikiwemo kumbeba Joao Pedro na zote hajapata yellow cardSasa swali la msingi.
Chelsea walibadilisha kipa kwa lengo gani haswa?
Hawa watu wanaact kwa mihemko.
Ile ni red card kuhatarisha afya ya mchezaji ni dangerous play na pia goal la pili Konsa kambeba Joao Pedro alafu akamdondosha chini refa kaacha ndio imesababisha goal la pili. Ligi ya Uingereza ni ligi nzuri ila ina matukio mengi ya ovyoUsisau hata Gabriel Maghaleas alibidi apewe Kadi ht ya njano Kwa mguu uliompiga kipa "Dibu" japo itatafsirika hakudhamiria