Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,429
- 77,345
Kama hata ukiona msimamo wa ligi unakua haujui ni nini hapa tunajadili nini?Sijajua maana yako yakuweka hivi ni Nini?
Kaa kushoto
Kama hata ukiona msimamo wa ligi unakua haujui ni nini hapa tunajadili nini?Sijajua maana yako yakuweka hivi ni Nini?
Fainali mlikutana na PSG inayojua mpira wewe mwenyewe shahidi mliishia kudefend maana mlipelekewa moto ile mbayaHivi vichekesho vyako hua unavifikiria?
Mwisho wa msimu timu yenye mpira haramu ina magoli ya kufunga 71.
Timu yenye mpira mzuri ina magoli ya kufunga 58.
Mnachokasirika ni kushuhudia timu inageuka kua nzuri mbele ya macho yenu. Na siyo peke yako, mpo wengi sana. Na wote hua wanatulia wakiletewa takwimu
Sasa Zubimend nae ni mchezaji wakumfananisha na Caicedo kweli??? Ndio maana siwatofautishi na manyumbuKama hata ukiona msimamo wa ligi unakua haujui ni nini hapa tunajadili nini?
Kaa kushoto
PSG inayojua mpira msimu wa 25/26 imefunga magoli 74.Fainali mlikutana na PSG inayojua mpira wewe mwenyewe shahidi mliishia kudefend maana mlipelekewa moto ile mbaya
Msimu huu kwenye mbio za ubingwa Chelsea nawapa nafasi ya pili baada ya Arsenal 😂Wewe ni mshabiki wa Kwanza wa Arsenal nimekutana nae mwenye akili nzuri na unajua maana halisi wa kuwa mshabiki wa mpira wenzako huwa wanajitoa ufahamu hata pale penye ukweli mmojawapo ni Castr
Wala sibishi ila mwisho wa ligi utaongeaMsimu huu kwenye mbio za ubingwa Chelsea nawapa nafasi ya pili baada ya Arsenal 😂
Tusubiri, na mwisho wa ligi tukumbushane.Wala sibishi ila mwisho wa ligi utaongea
KabisaTusubiri, na mwisho wa ligi tukumbushane.
Hebu tuambie ni mpira gani Chelsea walicheza dhidi ya Bayern kwenye fainali ya UCL 2012 licha ya wao kushinda tajiFainali mlikutana na PSG inayojua mpira wewe mwenyewe shahidi mliishia kudefend maana mlipelekewa moto ile mbaya
Huyu hana lolote alijualo kazi ni kujikusanyia Kadi nyekundu na ndo maana kitaalam anaitwa " sheen kicker"Kuumia kwa Caicedo napo pamechangia anasaidia sana kufanya kazi zote chafu na kulinda defenders moja kati ya mchezaji muhimu sana kwetu
Arsenal ina wachezaji wa kawaida kulingana na mtazamo wako haya hebu tuambie ni lini mara ya mwisho Chelsea kuifunga Arsenal na kuondoka na point zote 3 ukizingatia Arsenal ina average playersHuwezi kunielewa ukiwa umebeba bendera ya ushabiki, Arteta kaichukua team yenu ikiwa haina mbele wala nyuma mpo nje ya top 4 lakini akaisuka na mkampa muda wa ujenzi ndio kaifanya iwe hii Leo mnacheza kwa identity yake kaona mpira mzuri hauwezi kuwalipa kwa sababu hamna wachezaji wenye viwango vikubwa wa kuwapa Mataji ndio maana akaamua acheze soka haramu. Huwezi kucheza mpira wa mzuri na hapo hapo unataka matokeo ukawategemea Kai, Madueke,Martinell, Jesus, Zubimend,Ben White, Eze n.k ndio maana akaamua kuchagua njia haramu kushinda taji utapinga lakini hiyo haibadilishi nyie mna wachezaji wengi wa kawaida wachezaji wengi kwenu wakija Chelsea namba hawapati na ndio maana tunawauziaga magarasa.
Jamaa huwa anaongea pumba tupu tu anatumia akili za kulima matikiti kuchambua mpira.Ila wewe jamaa 😅
Hii timu ishakua na beki Maitland-Niles, Mari, Sokratis.
Ishakua na kiungo Guendouzi, ishakua na beki Soares, imeshacheza ikitegemea kiungo Ramsay ndiye afanye maajabu ya kufunga. Na siyo forwards.
Hii timu imeshakua na beki Luiz, imeshacheza ikimtegemea kipa Cech na Leno.
Hii timu imeshaingia uwanjani huku mpinzani akiwa amejiandaa kuchukua matokeo na anayachukua.
Hii timu imeshacheza huku inaanza kupata magoli mawili lakini mechi inaisha sare au tunafungwa.
Wewe huwezi kujua haya kwakua unaangalia livescore matokeo hauangalii mechi na unaangalia stats za mchezaji.
Mimi nisipoangalia mechi nasema ili mtu aelewe mtazamo wangu unapotokea, kama unaangalia takwimu na rekodi na unadai wachezaji wa Arsenal hawana viwango hakikisha na makocha wa timu za taifa wanapata huu ujumbe.
Saka kamuweka benchi Palmer, akamuweka benchi Madueke. This time around hata timu ya taifa hajaitwa, mnadai mna forward mzuri hata hiyo timu ya taifa hajagusa.
Unaongea sana broken mzee
Fuatilia mjadala wangu tangu mwanzo ndio utaelewa umekurupuka kunijibuHebu tuambie ni mpira gani Chelsea walicheza dhidi ya Bayern kwenye fainali ya UCL 2012 licha ya wao kushinda taji
Kila mgonjwa anatibiwa kwa dawa yake huwezi ukampasua mtu kichwa kwa ugonjwa wa mguuIla we jamaa haupo serious yaani unamfunga Aston villa mbovu kwa mbinde halafu unajitapa utafunga Chelsea 🤣
zubimendi ana world cup na ligi kuu ya mfalme caicedo ana kadi nyekundu nyingiSasa Zubimend nae ni mchezaji wakumfananisha na Caicedo kweli??? Ndio maana siwatofautishi na manyumbu
Caicedo ana red card 1 tuzubimendi ana world cup na ligi kuu ya mfalme caicedo ana kadi nyekundu nyingi
nyingi kuliko premier ligi alizonazoCaicedo ana red card 1 tu
Sio kweli unaona kazi anayoipiga pale katinyingi kuliko premier ligi alizonazo
kazi anapiga hadi sofyan amrabatSio kweli unaona kazi anayoipiga pale kati