Yaani unavyoipamba Arsenal utafikiri bonge moja la team, kumbe mimavii tu. hakuna mpira wowote wa maana kwamba hauna timu ya kushindwa kuwafungaBwana Agbonlahor alisema kwenye mechi tano za mwanzo Arsenal atapata points 5 tu. Akasema hapa mwanzo ni kipindi kizuri kukutana na Arsenal kwakua bado timu haipo sawa.
Hiyo ilikua kabla ya ligi kuanza.
Baada ya game ya dhidi ya Coventry, Aston Villa na Chelsea Tukawa tuna points 9. Jamaa akarudiwa tena kwenye podcast yao ya kipimbi.
Akasema "Hii Arsenal ni timu ngumu sana, ukiamua kua physical wanakumaliza na ukiamua kua technical unamalizwa. Jana chelsea alianza kupata goli na Arsenal ikacheza kiutaalamu sana mpaka ikapindua matokeo."
Unakaa unawaza, hawa wajinga wapo sawa?
Endelea kuwadanganya wenzio