Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyie viazi kuleni kabisa chakula cha usiku sahizi,msije mkalala njaa. kwa jinsi tutakavyowashenyeta badae hamtapa hamu ya kula.
 
Arsenal tunacheza 4 2 3 1. Ninafikiri hii ni response ya 3 4 2 1 ya chelsea kwakua hii formation itasaidia kutanua uwanja ambapo kwenye back three uwanja kutanuliwa hua inakua sehemu ya weakness yake.

Naona tuna Rice na Skelly katikati. Tutafeast kama Rice atacheza long balls vizuri na Skelly atafocus na kucheza through balls, hizi pasi za kuchana defense ni dawa nzuri kwa back 3.

Lakini pia tunahitaji pace, Tzolis anayo, Saka anayo. Odegaard na Kai hawana, kutokana na hili natarajia tucheze compact sana. Dowman akiingia itakua sawa, leo kwa back 3 hata Madueke akiingia ni sawa.

Bruno akiingia baadaye atakua kajua wapi pa kupiga pasi na nani amchezee ubabe, defense yetu leo ina sura mpya Konsa. Namchukulia mid huyu jamaa tangu yupo Villa so leo akomae kuonyesha uwezo.

Tunahitaji kushinda angalau magoli 3 bila goli kama tunataka kukaa pale juu. Arteta awaonyeshe vijana tweets na posts za hawa watu ili wajue jinsi wanavyosubiriwa kushindwa.

COYG
 
IMG_20260906_175421_881.png
 
Ahaa Wewe Mashabiki Wa Arsenal Tupo Wa Kumwaga 2 Si Unaona Jinsi Chelsea Alivyopelekwa Mperampera?
Abedayor Bado Kijana Mdogo Anayo Nafasi Ya Kujifunza Toka Kwa Wakongwe Kama Mtu Mzima Henry Na Van Persie Kwa Hiyo Tumpe 2 Nafasi
Game
 
Hiki kitu nimewahi kuzungumza kwenye jukwaa hili lenu mnawachezaji wengi wa kawaida ambao ukiwatoa Rice, Raya labda na Saliba ambapo wakienda Chelsea au Man City wanakula benchi ila Sasa Castr anavyowapaisha Hana tofauti na mashabiki wa manyumbu utofauti uko wapi ni kwasababu ya mfumo wa Arteta unafanya wanaonekana wapo kwasababu ya ile team work.
SAka, havertz, gyokeres sijawahi waelewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom