Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pale juu kuna baridi sana Sidhani kama mtaweza kuvumilia.
HRjWh50aIAAYKyj.jpg
 
Nyie hamna kitu.... Zaidi ya kipa na beki !
Mbele kule ndio usiongee kabisa .... kai ? Eze ? Kichaa Victor Goyk ? Ama saka ambae hana consistence.....

Mid yenu pia yupo Rice tu...ode mpaka aamke vizuri, zubimendi Epl imemshinda, Bruno G huyu ni mtu haswa... changamoto hawezi kukupa mechi 10 consecutively, trip shamba trip gereji .....

Chelsea wanaweza kuwatoa kamasi, japo nao timu yao haiko poa, lakini attacking yao ipo njema kuliko kina Saka na Eze
Mlijiongelesha wee kama kawaida yenu
 
Kuna siku nilikua namjibu jamaa wa chelsea kwamba online wanasema Morgan isingekua goli lake basi angekua mzururaji.

Hilo limejirudia leo.

Nilisema chelsea wangetuheshimu na kupaki basi kama Villa labda yasingetokea haya. Tzolis amekua wa moto tena coz walicheza kwa kutaka kubishana.

Kwa hizi statistics na ukiwasikiliza kenge walichokua wanadai juu ya timu yao unabaki kuwaonea huruma.
Screenshot_20260906-214721.png
 
Kuna siku nilikua namjibu jamaa wa chelsea kwamba online wanasema Morgan isingekua goli lake basi angekua mzururaji.

Hilo limejirudia leo.

Nilisema chelsea wangetuheshimu na kupaki basi kama Villa labda yasingetokea haya. Tzolis amekua wa moto tena coz walicheza kwa kutaka kubishana.

Kwa hizi statistics na ukiwasikiliza kenge walichokua wanadai juu ya timu yao unabaki kuwaonea huruma.
View attachment 3664734
Banda umiza nililo kuwepo Kuna mashabiki wa Chelsea walikuwa wanamtukana
 
Sasa swali la msingi.

Chelsea walibadilisha kipa kwa lengo gani haswa?

Hawa watu wanaact kwa mihemko.
 
Hii yaitwa kwa kiingereza 'lying down the marker' yaani wachora mstari kabisaa mapema usubuhi.

Arsenal kwa sasa ni timu kamili yenye ukamilifu kila idara na hiyo twasema tena kwa kiingereza 'Completeness'.

Hiyo yamaniisha ndani ya uwanja Arsenal yaonekana ila wachezaji tisa au 10 wakiwa kila mahala huku wakibadilishana nafasi.

Hii huwachanganya timu pinzani kwani hawafahamu Calafiori au Milles au Saka, au Odegaard au Ben White hucheza nafasi zao kivipi.

Chelsea yaonyesha ni timu inoelekea kuwa timu nzuri lakini leo imeonyesha udhaifu mkubwa kwenye safu ya ulinzi na sehemu ya kiungo, na Arsenal wametumia udhaifu huo.

Magoli yote ya Havertz na Odegaard ni katika kuonyesha udhakfu wa sehemu hizo mbili.

Arsenal kuruhus goli la kwanza ndani ya dakika tano ni kukosa umakini pale mwanzo hakuwa 'switched on' pale kipenga cha mwamuzi Chris Kavanagh kilipopigwa kuanza game.

COYGs.
 
Akili zimeanza kuwarudia sasa kwamba tatizo siyo Caicedo wala Colwill kutokuepo
Screenshot_20260906-230436.png
kwasababu washapokea kipigo na hizo punda zikiwa uwanjani.

Kwamba Martinez siyo kipa wa kufanya Sanchez aonekane kilaza ila wote ni vilaza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom