makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,428
- 108,438
Kwanza aanze kulaumiwa arteta na wazo lake la kuweka timu chini.. haikuwa na haja, uwoga wake umemponzaWakae wakubali tuu haikuwa riziki yao, mambo ya kumtupia lawama Gabriel n uongo.
Kwanza aanze kulaumiwa arteta na wazo lake la kuweka timu chini.. haikuwa na haja, uwoga wake umemponzaWakae wakubali tuu haikuwa riziki yao, mambo ya kumtupia lawama Gabriel n uongo.
Hili la kupasuka nyingi nakataa.. tungecheza mpira wetu wa kawaida huenda tumgewafunga ama pia wangeshinda.. wazo la kuweka timu chini hapana kwa kweli..Approach aliyotumia Arteta mi nimeona kama ilikua sahihi, ni mistake tu kidogo iliyofanyika approach ilikua ilipe, wangesema watunishiane misuli Arsenal wangepasuka nyingi tu mana PSG kwa swala la Transition wapo vizur sana aisee.
View attachment 3598305
Mfumo wa Arterta hautoi room attack midfield kuwa huru yeye anataka uwe na mapafu ya mbwa kwa kukaba na hapo hapo uwe unashambulia ndio maana unaona mtu kama saka kiasi fulani ile ability yake ya kushambulia inapungua right yule angekuwa kwenye team kama man city tungeongea mengineSahihi, licha ya mfumo mmbovu wa kujilinda na kutegemea setpicess, kuna namna kwenye baadhi ya maeneo wanawakosa watu wa kuamua game ... huwezi kuwa na AM ambaye mda wote ni side way na back passes .... hii ni changamoto pia ....
Hata mimi sikupendezwa na timu kuwa inakaba 80% ya mchezoHili la kupasuka nyingi nakataa.. tungecheza mpira wetu wa kawaida huenda tumgewafunga ama pia wangeshinda.. wazo la kuweka timu chini hapana kwa kweli..
Wangefunguka Arsenal wangepigwa nyingiKwanza aanze kulaumiwa arteta na wazo lake la kuweka timu chini.. haikuwa na haja, uwoga wake umemponza
Hili bado napinga.. si rahisi psg kumpiga nyingi arsenal. Nakataa na ninakataa tena.Wangefunguka Arsenal wangepigwa nyingi
Ni ngumu kwa jinsi tulivyocheza... hamshambulii unataka ushinde, kwa namna gani?Hata mimi sikupendezwa na timu kuwa inakaba 80% ya mchezo
Nafikiri alete wachezaji wa maana tuachane na mentality za kukaba kabaNi ngumu kwa jinsi tulivyocheza... hamshambulii unataka ushinde, kwa namna gani?
PSG Wana attack Kali sana wakikukalia golini lazima uachie huo mfumo wa Arterta umewapunguzia magoal Bayern haikupigwa kwa bahati mbaya goal 5Hili bado napinga.. si rahisi psg kumpiga nyingi arsenal. Nakataa na ninakataa tena.
Chutama tu mkuu maana ushavuliwa nguo, hauna vikombe vya CWC, UEFA CHAMPIONS LEAGUE, EUROPA LEAGUE, CONFERENCE LEAGUE huna hadhi ya kujibu hata huu ujumbe.Timu yako imemfukuza Rosemary. Imemuajiri kocha anaitwa Alonso, alifukuzwa Madrid.
Pia msimu ujao hampo conference, Europa wala Uefa. Ila mnamtaka Luke Shaw ili aifungue potential ya Garnacho
Jumanne na Jumatano za msimu ujao utakua unafanya nini?Chutama tu mkuu maana ushavuliwa nguo, hauna vikombe vya CWC, UEFA CHAMPIONS LEAGUE, EUROPA LEAGUE, CONFERENCE LEAGUE huna hadhi ya kujibu hata huu ujumbe.
Bado unaendelea kuotaJana huwezi kuamini nimeota Arsenal kuchukua UEFA Wazee, for the first time, ngoja tuone.
Na tukichukua hili we're going to win it back to back, I believe next season tutakuwa na finance ya kutosha kuziba Magap with the very best players
Hahahahaja ndoto kama ndotoJana huwezi kuamini nimeota Arsenal kuchukua UEFA Wazee, for the first time, ngoja tuone.
Na tukichukua hili we're going to win it back to back, I believe next season tutakuwa na finance ya kutosha kuziba Magap with the very best players