999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 914
- 1,691
Hii game inamfaa Martinell
Mnaona wanaanza kujipendekeza sasa. Bado punda mwingine atakuja kujichekesha soon[emoji16][emoji16][emoji16] Tetea Kiwigi wa msimu huu unaweza kuzani ni late Mourinho wa Chelsea.
Kwa hilo container alilopaki sidhani kama Psg watarudisha hilo goli moja.
Huu sasa ndio mpira malengo, sio kila msimu unaongoza kwa ball possession halafu unamaliza ligi mikono mitupu.