Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,314
May the traitor big D, fill ya arseArsenal forever in my heart ❤️
May the traitor big D, fill ya arseArsenal forever in my heart ❤️
Watu tuli uona ubingwa kitambo Sana 🔥🔥next three games for arsenal and man city
Arsenal
- Bournemouth
- Liverpool
- notiham forest,
Man City
- chelsea
- brighton
- man united
suluhu 2 kwa chelsea and united, uwii 😁 😁
Mtu ana EPL 14 unamuita kipofu. Mmeanza kuangalia mpira kipindi hiki cha kina Doku?Hatimaye kipofu kaona mwezi
Hongereni sana Arsenal
Mamaa inaitwa arsenalNDOO. Alafu fanya kuhudumia ndoa hapoArsenyeto mnachachawa balaa, ila ni halali yenu 22yrs sio mchezo, mtoto kazaliwa na amemaliza chuo kikuu. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
Najua 2004 ulikuwa katika tumbo la mamayo ama hukufikiriwa kabisa.Arsenyeto mnachachawa balaa, ila ni halali yenu 22yrs sio mchezo, mtoto kazaliwa na amemaliza chuo kikuu. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
UEFA sio kwa ajili ya watoto , tunza comment yanguSafi kabisa pia hongera sana arsenal. Mpambane mbebe na UEFA.
Ndio maana nikasema wapambaneUEFA sio kwa ajili ya watoto , tunza comment yangu