Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wadau wa Gunners hongereni sana hasa wale die hard fans kama Castr , arsenal2004 mkorea Will Jr na mwanangu HENRY14 pamoja na wengine wote ambao hamkuionea aibu timu yenu hata ilipokuwa inapitia nyakati ngumu zaidi.

Kama mnavyojua furaha ya mpira inakuja unapokuwa na mnyonge zaidi yako, hivyo kwa fans wa timu pinzani. arsenal ilikuwa timu inayofurahisha kutaniwa kutokana na rekodi zake kwenye mbio za mataji makubwa.

Kusema kweli tumehuzunika sana kwa jana kuchukua moja ya mataji makubwa ila hatuna namna tarehe 30 tutakuwa dhidi yenu ili tuendeleze utani wetu wa jadi maana tofauti na hapo pataboa sana humu na mtarudi kuwa mateka wa hamis77 kabla Flano hajaja kuwaokoa na mbwembwe zake za inverted pressing ambazo hazikuzaa matunda hadi mlivyorudi kwenye LOW BLOCK ila mkaibatiza jina la kiutaalam kuwa ni HARAM FOOTBALL
 
2ade19814450420cbb40fcd82d7c0da8.jpg
 
Pep mwenyewe kakubali huu msimu kapambana sana lakini wapi, credit kwa Arteta maana pep kakimbiza sana upepo, ujue ile ilikuwa vita ya mentality zaidi, nampa sifa Arteta kwasababu hakuwahi kushinda kombe kubwa lakini kaonesha kwenye hizi run-in anaweza kucompete with the best, ukumbuke January tu Man city wametumia karibu 200 million, sasa Man city watuletee naye Maresca tumjaribu kama Ana pumzi, congrats to all gooners!
 
Asenoo wote qumamao! Mmekaa miaka 22 bila kombe, jana mmeshinda kombe kwa ndondokela mnakuja hapa kutupayukia makelele yenu. Nyie wehu nini? Je, mngeshinda hilo kombe baada ya miaka 10 si mngetembea barabarani bila nguo? Sijawahi kuona mashabiki wenye akili za kiuendawazimu kama hawa wa Asenoo. Ni shida.
Acha kutype huku unashika uboo we mwanamama
 
Flano
kitalembwa
Na haters wengine msiteseke bure dawa za kupozea maumivu hizi hapa chini.

Wahini katika vituo vya afya vilivyo karibu yenu mjichukulie dozi zenu[emoji23]
View attachment 3591792
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaahhh huku mtaani kwa sasa tunaishi kwa tabu sana aiseee, yaani inabidi nichomoke home mapema sana kabla wale bodaboda wa kitaani hawajaamka.
IMG-20260520-WA0000.jpg
 
Wadau wa Gunners hongereni sana hasa wale die hard fans kama Castr , arsenal2004 mkorea Will Jr na mwanangu HENRY14 pamoja na wengine wote ambao hamkuionea aibu timu yenu hata ilipokuwa inapitia nyakati ngumu zaidi.

Kama mnavyojua furaha ya mpira inakuja unapokuwa na mnyonge zaidi yako, hivyo kwa fans wa timu pinzani. arsenal ilikuwa timu inayofurahisha kutaniwa kutokana na rekodi zake kwenye mbio za mataji makubwa.

Kusema kweli tumehuzunika sana kwa jana kuchukua moja ya mataji makubwa ila hatuna namna tarehe 30 tutakuwa dhidi yenu ili tuendeleze utani wetu wa jadi maana tofauti na hapo pataboa sana humu na mtarudi kuwa mateka wa hamis77 kabla Flano hajaja kuwaokoa na mbwembwe zake za inverted pressing ambazo hazikuzaa matunda hadi mlivyorudi kwenye LOW BLOCK ila mkaibatiza jina la kiutaalam kuwa ni HARAM FOOTBALL
Mkuu fuentte Nashangaa mpaka saivi, sijamwona Aaron Arsenal. Au tuseme ana multiple ID, jamaa ni moja ya die hard fans wa arsenal. Kwa kupitia michango yake mingi, kwenye hili jukwaa. Alikua sio tu mchambuzi wa mpira, Yani alikua na zile pigo za kiutafsiri, kama marehemu mkandala lufufu. Aliyekuwa mtafsiri wa action movie hasa kipindi cha mikanda ya (VHS). Aliponikosha sasa hadi kwenye masuala ya dini jamaa yumo.

Sijui ndio huyu huyu, hamis77 masingeli. A.K.A kiraka kinachofiti kila sehemu, kuanzia kwenye mpira,dini na jukwaa la kimataifa. Sio kwa ubaya, niseme tu baadhi ya mashabiki wa arsenal, huwa mnaishi kwenye dunia yenu ya kipekee. Hawa watu inatakiwa warudi, na waendelee na michango yao kwenye ili jukwaa.

Mkuu tarehe 30, nikiwa kama mshabiki mwenzako wa man Utd, nitakua upande wa arsenal.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaahhh huku mtaani kwa sasa tunaishi kwa tabu sana aiseee, yaani inabidi nichomoke home mapema sana kabla wale bodaboda wa kitaani hawajaamka. View attachment 3591840
Jipigenipigeni mkuu...tangu 2013 ndo mara ya mwisho kubeba hii ndo sasa rasmi nyny ndo mtakuwa mikubwa jinga ya EPL🤠🤠
 
Ila sasa naanza kuelewa kwnini watu walikuwa hawataki sisi tushinde hii ndoo....kiukwli kabisa sisi tuna vurugu sana....yaani tuna nongwa kishenzi....na ikitokea UEFA nayo tukaiteka....hakyanani Kuna majukwaa hmu wataishi kwa tabu sana hasa wanangu wa Manunu🤠🤠🤠
 
Jipigenipigeni mkuu...tangu 2013 ndo mara ya mwisho kubeba hii ndo sasa rasmi nyny ndo mtakuwa mikubwa jinga ya EPL[emoji1783][emoji1783]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hongereni sana wanangu wa Arsenyau kwa msaada wa VAR kufanikiwa kubeba English Corner Trophy msimu huu.
Hii ni fedheha kubwa mno kwa ulimwengu wa Soccer.
HIoDeQZbUAAIuIw.jpg
 
Inaonekana wewe sio mtembeleaji wa majukwaa ya michezo, hii kauli sio salama kwa mustakabali wa timu yako msimu ujao. Waulize Liverkuku baada ya kutwaa kombe chini ya kichwa mviringo halafu wakaongezea akina ISAK, Kerkez, Ekitike, Frimpong, nk wameponea chupchup kushuka daraja msimu huu.

Anyway, Hongereni sana Gunners kwa kutwaa ubingwa
 
Attachments

  • 20260520_112854.jpg
    20260520_112854.jpg
    21.3 KB · Views: 17
Asenoo wote qumamao! Mmekaa miaka 22 bila kombe, jana mmeshinda kombe kwa ndondokela mnakuja hapa kutupayukia makelele yenu. Nyie wehu nini? Je, mngeshinda hilo kombe baada ya miaka 10 si mngetembea barabarani bila nguo? Sijawahi kuona mashabiki wenye akili za kiuendawazimu kama hawa wa Asenoo. Ni shida.
 
Attachments

  • 20260520_191757.jpg
    20260520_191757.jpg
    74.8 KB · Views: 13
Kuna mwaka Fulani almanusura arsenal FC itwae kombe ila ikapotezaaa..

Kuna AHADI yangu kubwa nitachinja mbuzii kwa ajili ya celebration 🎊 maana miaka 22 sio mchezooo..

Nime ikumbuka arsenal ya ule msimu ikiitwa invincible 11
Maana arsenal ya 2003/2004 ilikua na kina jens Lehman ,David benkamp, Antonio Reyes, ovamars, Henry, wiltod, kolo toure, Fred ljumbeg, Peres, Lauren, sol cambel .
(Invincible 11)
Mkuu, kumbe wewe na Mimi tunaishabikia Arsenal. Aisee nimefurahi sana baada ya kugundua kuwa watu wengi humu ninaowaheshimu ni washika mitutu wenzangu 👏.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom