Yes, Odegaard anatakiwa apate mbadala.Subira huvuta heri wana Gunners wenzangu
Hii safari haikuwa rahisi hata kidogo, tumeambiwa maneno mengi ya kutukatisha tamaa
Ambayo kwa sehemu kubwa yalichangia baadhi ya waliokuwa mashabiki wenzetu wa Arsenal kuhamia timu nyingine za Man City, Chelsea hata wengine kudiriki kwenda Newcastle utd
Kocha wetu amejitahidi sana kurudisha morale ya timu yeye pamoja na benchi lake la ufundi, katika miaka yake 8 akiwa kama Kocha wa timu ya Arsenal, tumeona Mikel Arteta akitumia mbinu mbalimbali kuanzia kucheza mpira wa kuburudisha wa Pep Guardiola hadi kuamua kucheza haram football wa José Mourinho
Iwapo tutafanya maboresho ya kikosi chetu hasa eneo la Kiungo cha Ukabaji na ushambuliaji, tukapata kiungo mshambuliaji mwenye jicho la mwewe kama la Mesut Özil ama Cesc Fàbregas nina amini tutaenda kuwa tishio kwa miaka 4 hadi 6 ijjayo, kwani timu yetu imesheheni wachezaji wengi vijana
Hongereni kwa kila mmoja wetu humu, the waiting is over now 💪
COYGs, Let's celebrate 🥂
England itachukua world cupCongratulations majirani....
chukueni na UCL sasa, mtamuweza Luis Enrique? Kwa kile kiungo na forward line? Sema nini ? Hata mkichukua UCL hamuwezi kutoa B'dior make huu mwaka kuna world cup ..... mara nyingi wanaangalia alofanya vzr kwenye hio tournament..... ni mwendo wa kuwasagia kunguni tu
Kabisa, jamaa amekuwa mtu wa kutoa pasi za nyuma badala ya kupeleka timu mbeleYes, Odegaard anatakiwa apate mbadala.
One more to go. PSG.
Tuna defence nzuri zaidi yao.
Dembele kaumia.
Kipa wa PSG sio mzuri ndio maana hajaitwa timu ya taifa Ufaransa.
Tumechukua EPL mapema tutapata muda mwingi wa kujiandaa na game ya fainali.
Wachezaji wa Arsenal baada ya kushinda EPL iliyokuwa na pressure kubwa kwao, sasa wanaenda fainali ya CL wakiwa wanajiamini zaidi.
Hata kama PSG wana striking force nzuri, but equally Arsenal tuna defence nzuri pia.
Good d
efence win you titles.
Acha kutupigia kelele we MwehuAsenoo wote qumamao! Mmekaa miaka 22 bila kombe, jana mmeshinda kombe kwa ndondokela mnakuja hapa kutupayukia makelele yenu. Nyie wehu nini? Je, mngeshinda hilo kombe baada ya miaka 10 si mngetembea barabarani bila nguo? Sijawahi kuona mashabiki wenye akili za kiuendawazimu kama hawa wa Asenoo. Ni shida.
Kuna mwaka Fulani almanusura arsenal FC itwae kombe ila ikapotezaaa..Subira huvuta heri wana Gunners wenzangu
Hii safari haikuwa rahisi hata kidogo, tumeambiwa maneno mengi ya kutukatisha tamaa
Ambayo kwa sehemu kubwa yalichangia baadhi ya waliokuwa mashabiki wenzetu wa Arsenal kuhamia timu nyingine za Man City, Chelsea hata wengine kudiriki kwenda Newcastle utd
Kocha wetu amejitahidi sana kurudisha morale ya timu yeye pamoja na benchi lake la ufundi, katika miaka yake 8 akiwa kama Kocha wa timu ya Arsenal, tumeona Mikel Arteta akitumia mbinu mbalimbali kuanzia kucheza mpira wa kuburudisha wa Pep Guardiola hadi kuamua kucheza haram football wa José Mourinho
Iwapo tutafanya maboresho ya kikosi chetu hasa eneo la Kiungo cha Ukabaji na ushambuliaji, tukapata kiungo mshambuliaji mwenye jicho la mwewe kama la Mesut Özil ama Cesc Fàbregas nina amini tutaenda kuwa tishio kwa miaka 4 hadi 6 ijjayo, kwani timu yetu imesheheni wachezaji wengi vijana
Hongereni kwa kila mmoja wetu humu, the waiting is over now 💪
COYGs, Let's celebrate 🥂
Pia amekuwa majeruhi muda mwingi sana, kitambaa cha unahodha apewe Rice.Kabisa, jamaa amekuwa mtu wa kutoa pasi za nyuma badala ya kupeleka timu mbele
Sio kiungo mbunifu
Angalia miaka ya nyuma, akina Emmanuel Adebayo, pamoja na ubutu wake kwenye umaliziaji, lakini kwa zile pasi za akina Cesc Fàbregas alikuwa hakosi magoli 17 ama 20
Saivi tuna timu nzuri, yaani tukipata namba 6 mzuri na 10, basi tunaenda kuchukua tena EPL mwakani
Si mmeona Pep ameshatupa taulo, hii ni nafasi ya kurudisha makali ya Arsenal yetu
PSG hawajawahi kutana na timu ngumu kama Arsenal kwenye UEFA.Dembele atakuwa ready kwa final.... mtaliwa kiboga ... kvara, doue, dembele,! Kiungo neves, vitinha, Ruiz
Naunga mkono hoja. Declan Rice amekuwa mpambanaji sanaPia amekuwa majeruhi muda mwingi sana, kitambaa cha unahodha apewe Rice.
Nilishakuwa muhudhuriaji mzuri sana hili jukwaa miaka ya nyuma ila nikasimama kidogo. From now We are together, Arsenal the gunnersOhh hadi wewe mkuu!
Sijawahi kukuona jukwaa la michezo kabisa lol!
Atakuwa kazimia Yule😄Hivi mna uhakika Flani yuko hai?!
Hyo Lofa anayetutukana hmu ndani....rasmi tumekukabidhi ww umtulize....MwAmbie kama ni Manunu atulie....mechi yetu ya mwisho tutawapa Manunu watuchezee maana hawana shuguli ya msingi ya kufanya....inshort ni wanazururazurura hmu kwny jukwaa letu🤠🤠....It was arsenal against the world 🌎 and they won the battle. Hakuna namna nyingine yoyote.
Inaonekana wewe sio mtembeleaji wa majukwaa ya michezo, hii kauli sio salama kwa mustakabali wa timu yako msimu ujao. Waulize Liverkuku baada ya kutwaa kombe chini ya kichwa mviringo halafu wakaongezea akina ISAK, Kerkez, Ekitike, Frimpong, nk wameponea chupchup kushuka daraja msimu huu.Ni rasmi Pep anaondoka mwishoni mwa msimu.
We're going to dominate the premier League for the next 10 years.
Mkuu wewe unahisi nitakuwa najisikiaje ?? Mimi nipo tena mwenye furaha tele.Kenge Labyrinth 84 popote alipo sijui anajiskiaje
Someone should check on him he might have collapsed 😂