Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 1,642
- 5,707
Mala ya mwisho kubeba taji ilikua liniNyumbu ni kina nani? Kama unazungumzia manjesta tuna makombe 20 ndani ya kabati
Mala ya mwisho kubeba taji ilikua liniNyumbu ni kina nani? Kama unazungumzia manjesta tuna makombe 20 ndani ya kabati
Imeisha, weekend hivi njoo uchukue uzi wako...Woyooooooooo..!!
Navaa medium
Asipochukua jee, acha atambe sasa, tukibeba na uefa tutamba zaidi..Si utuliee uduuu jamanii,
Subirii UEFA uchukue utambe zaidi.
Mala ni kitu gani?Mala ya mwisho kubeba taji ilikua lini
Wapi? 😹Imeisha, weekend hivi njoo uchukue uzi wako...
😹😹😹 Yaliyopita si ndwere nkamu..!!😂😂😂😂
Sasa timu imekaa na gundu miaka 20
😹😹😹 Nimeteseka sana acha nifurahi..!!Yaani nilitaka nishangae nisikuone hapa Nkamu 😂😂😂😂😂
Gundu la miaka 22 mmelitoa
Naomba location Nkamu
Mapema tu kesho🥰
Asipochukua jee, acha atambe sasa, tukibeba na uefa tutamba zaidi..Si utuliee uduuu jamanii,
Subirii UEFA uchukue utambe zaidi.
Okay sir, mara ya mwisho nyumbu kubeba EPL ilikua ni liniMala ni kitu gani?
Shabiki maandazi au sio? 😹😹Nilianza kitambo sana ila huwa najificha sana maana samtaimz watu wakiona unaishabikia Aseno wanakuona kama mwehu 😂.
Why gettoo.. utaichukulia clock tower pale jua likitupiga..Wapi? 😹
Isiwe ghetto tu!!
Feza school fees imepanda sitaki majukumu..!! 🤣
Epl hakuna timu inaitwa nyumbu, hayo majina yenu ya kimatumbi hayajulikaniOkay sir, mara ya mwisho nyumbu kubeba EPL ilikua ni lini
ManjestaEpl hakuna timu inaitwa nyumbu, hayo majina yenu ya kimatumbi hayajulikani
Wala si shabiki mandazi 😁, nilikuwa najificha kwa sababu niliogopa kupelekwa mirembe. Siunajua tena nimezungukwa na mashabiki wa manyumbu na livakuku!Shabiki maandazi au sio? 😹😹
Mangi kubali tu hilo jina yaishe 😅.Epl hakuna timu inaitwa nyumbu, hayo majina yenu ya kimatumbi hayajulikani
Mara ya mwisho ilikua ni kwenye hii gameManjesta
Hiyo misenge misenge isiyojua kuandika kiswahili ipo mingi kweli,sijui shule hufunzwa nini siku hizi!?.. maana ramani ya nchi,bara,dunia haijui na kiswahili haijuiMala ni kitu gani?
Ngoja tumchukulie konyagi kwanzaMangi kubali tu hilo jina yaishe 😅.
Wewe mjuba wa kutoka wapi tena? 😹😹Why gettoo.. utaichukulia clock tower pale jua likitupiga..
Nimeghairi tuma location ama bolt wako aje kuibeba, isije tokea mjuba kakukamatia huko kesi jumba bovu nikaangushiwa mimi
Hayo majina yenu gen z sijafahamuMangi kubali tu hilo jina yaishe 😅.