Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haikuwa rahisi hongereni sana washika mitutu wenzangu, kama shabiki wa kweli tumepitia mengi sana mpaka kupata ubingwa.

Ni wazi kabisa kuna muda tulikwazika na kuikatia timu yetu tamaa maumivu yalikuwa makali sana hasa baada yakupoteza baadhi ya michezo muhimu ambayo ilipunguza gap la points dhidi ya mshindani wetu man city. Hatimae yote yamepita kikosi chetu kimetupa kile tulichokitamani kwa miaka mingi.

We deserve it watake wasitake. Tukutane next season.
 
Congratulations majirani....

chukueni na UCL sasa, mtamuweza Luis Enrique? Kwa kile kiungo na forward line? Sema nini ? Hata mkichukua UCL hamuwezi kutoa B'dior make huu mwaka kuna world cup ..... mara nyingi wanaangalia alofanya vzr kwenye hio tournament..... ni mwendo wa kuwasagia kunguni tu
 
Asenoo wote qumamao! Mmekaa miaka 22 bila kombe, jana mmeshinda kombe kwa ndondokela mnakuja hapa kutupayukia makelele yenu. Nyie wehu nini? Je, mngeshinda hilo kombe baada ya miaka 10 si mngetembea barabarani bila nguo? Sijawahi kuona mashabiki wenye akili za kiuendawazimu kama hawa wa Asenoo. Ni shida.
 
Hatimaye miaka 20 tangu huu uzi uanzishwe mwaka 2006 leo 2026 mashabiki wa Arsenal wanafurahia kubeba EPL hapa JF

Hongereni sana the Gunners miaka 22 sio poa

R.I.P fans wote wa Arsenal waliosubiria miaka zaidi ya 20 bila kuona wakibeba EPL
Tangu Aseno wabebe kombe mara ya mwisho mashabiki wengu wanaopanua midomo humu ndani walikuwa hawajazaliwa. Wale invisibles waliochukua kombe mwaka 2004, wanawasikia tu kwenye vitabu vya historia ya soka.
 
Asenoo wote qumamao! Mmekaa miaka 22 bila kombe, jana mmeshinda kombe kwa ndondokela mnakuja hapa kutupayukia makelele yenu. Nyie wehu nini? Je, mngeshinda hilo kombe baada ya miaka 10 si mngetembea barabarani bila nguo? Sijawahi kuona mashabiki wenye akili za kiuendawazimu kama hawa wa Asenoo. Ni shida.
It was arsenal against the world 🌎 and they won the battle. Hakuna namna nyingine yoyote.
 
Subira huvuta heri wana Gunners wenzangu

Hii safari haikuwa rahisi hata kidogo, tumeambiwa maneno mengi ya kutukatisha tamaa

Ambayo kwa sehemu kubwa yalichangia baadhi ya waliokuwa mashabiki wenzetu wa Arsenal kuhamia timu nyingine za Man City, Chelsea hata wengine kudiriki kwenda Newcastle utd

Kocha wetu amejitahidi sana kurudisha morale ya timu yeye pamoja na benchi lake la ufundi, katika miaka yake 8 akiwa kama Kocha wa timu ya Arsenal, tumeona Mikel Arteta akitumia mbinu mbalimbali kuanzia kucheza mpira wa kuburudisha wa Pep Guardiola hadi kuamua kucheza haram football wa José Mourinho

Iwapo tutafanya maboresho ya kikosi chetu hasa eneo la Kiungo cha Ukabaji na ushambuliaji, tukapata kiungo mshambuliaji mwenye jicho la mwewe kama la Mesut Özil ama Cesc Fàbregas nina amini tutaenda kuwa tishio kwa miaka 4 hadi 6 ijjayo, kwani timu yetu imesheheni wachezaji wengi vijana

Hongereni kwa kila mmoja wetu humu, the waiting is over now 💪

COYGs, Let's celebrate 🥂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom