Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chama letu limetupitisha kwenye safari ngumu ya kiakili na kihisia. Kuna kipindi unafurahi, Kuna kipindi unakuwa na hasira unaacha kabisa kuangalia Mpira. Mwisho wa siku tunachukua kikombe chetu

Congratulations to all the Gunners
 
Arsenal ni timu inochukiwa sana na kuonewa wivu na mashabiki wa timu karibu zote pale UK.

Lakini safari hii Arteta has just delivered the trophy.

Arsenal itakuwa timu tajiri zaidi na khasa wakifanikiwa kutwaa CL.

COYGs
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom