Huyu Zubimendi alisema Slot kichwa mviringo hajui mpira sikukataa, ila na yeye ni kundi hilo hilo tu.Zubimendi master tactician tuanze kumjadili lini uwezo wake...... ?
Hamna mchezaji humo ........ kichwa box 😃Huyu Zubimendi alisema Slot kichwa mviringo hajui mpira sikukataa, ila na yeye ni kundi hilo hilo tu.
🤣🤣🤣🤣🤣Kiungo ya ball imeganda hewani..
View attachment 3571012
Namna pekee ya kumzuia City asichukue ubingwa ni kumweka ndani na kumpa kesi ya uhaini.Bado Arsenal itatwaa EPL Cup msimu huu
Alikua anasubiri ulete energy drinks nasikia wewe ndo umesababisha umeingia mitini na energy drinks 😀Kuna mechi moja tulicheza hovyo tukapoteza.
Arteta akasema analiona hilo na wanalifanyia kazi ndani kwa ndani.
Wachezaji wakasema na wenyewe wameona wanavyokosea hivyo wamewekana chini kuambiana ukweli.
Hakuna mabadiliko ta chochote kile isipokua ni mwendelezo wa upuuzi ule ule
Nitajie match 5 ambayo arsenal alicheza vizurrii.Nafikiri hii ni moja ya mechi tumecheza hovyo sana msimu huu...
Sidhani kama kuna muda tulipiga pasi hata 5 sahihi za kwenda mbele...timu ilikosa ideas za kucheza kabisa.
Game ya City sidhani kama tutashinda kwa hali hii...tupo down kwelikweli labda yatokee maajabu.
Wachezaji wameamua kurudi kambini kujiandaa kuchukua ubingwa😀😀😀 .Hizo ni figisu tu za board ya Arsenal zikiongozwa na Arteta mwenyewe.
Wacheza hawataki kupoteza nguvu kwa mechi zizizo na umuhimu,wameamua kurudi kambini kujiandaa kuchukua ubingwa.
Another false hopePlayers who have withdrawn from international duties so far
Pietro Hincapie
Bukayo Saka
Leandro Trossard
Martin Ødegaard
Declan Rice
Noni Madueke
Martin Zubimendi
Eberechi Eze
Jurien Timber
Arteta & his boys must be cooking something🤔
Ikibeba ni kwa sababu ya longballs, setpieaces, kukumbatia timu pinzani wakati wanapiga kona yao ili wasiruke na kufunga, wanapaki mabasi na makontena. Arsenal midfield yenu mbovu sana Declan rice hawezi kupiga pasi na Submendi naye kiunmgo hovyo na nndio maana Arsenal hawawezi kucheza open play. Kusababisha set pieaces tu ili wabahatishe kufungaScholes na wenzake huwa wanasumbiliwa tu na wivu, usidhani Wana lolote la maana ambalo linaweza Fanya watu wawasikilize.
Anasema Arsenal itakuwa the worst team kushinda EPL wakati Manchester United iliwahi shinda league kwa point 75 pekee
Quadruple? Jamaa umekatwa kichwa ndo ukaja kuandika hii comment? Uefa msahau, EpL mkikaa vibaya Pep Anapita nayo mchana kweupeWanaoamini / kujua kuwa msimu huu EPL ni yetu gonga like hapa
Hii comment nitaifukua siku tunanyanyua NDOO
View attachment 3571266