Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenyo inachekesha kama sio timu yako.
1775916318593.jpg
 
Kuna mechi moja tulicheza hovyo tukapoteza.

Arteta akasema analiona hilo na wanalifanyia kazi ndani kwa ndani.

Wachezaji wakasema na wenyewe wameona wanavyokosea hivyo wamewekana chini kuambiana ukweli.

Hakuna mabadiliko ta chochote kile isipokua ni mwendelezo wa upuuzi ule ule
Nafikiri hii ni moja ya mechi tumecheza hovyo sana msimu huu...

Sidhani kama kuna muda tulipiga pasi hata 5 sahihi za kwenda mbele...timu ilikosa ideas za kucheza kabisa.

Game ya City sidhani kama tutashinda kwa hali hii...tupo down kwelikweli labda yatokee maajabu.
 
Ndio maana mnaitwa machizi nyie mashabiki wa hii timu...Yaani unashindwa kumfunga Southampton unataka umfunge Man City?
 
Baada ya Ile Sare na Wolves yaliongeleka maneno mengi Sana bt we redeemed ourselves by winning the two derbies kelele zikazima.

Here we go again.
 
Back
Top Bottom