Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Paul Scoles, juzi kati alinukuliwa akisema kama Arsenal watatwaa ubingwa Epl this season itakuwa the worst team ever kufanya hivo
Hapa alikuwa na maana kwamba sio kwamba nyie ni wazuri sana (master class) ni vile tu wenzenu wamejichokea ... the likes of city, liver, Chelsea, utd , spurs , Newcastle n k......

Soton tu wako championship huko wamewalomba, wachezaji wenu muhimu walikuwepo/walicheza .... saliba, Gabriel M, Ode, Victor, kai kiazi, Jesus, calafior, skelly , Zubimendi n.k !

Quadruple? Mtaisikilizia kwenye bomba
Scholes na wenzake huwa wanasumbiliwa tu na wivu, usidhani Wana lolote la maana ambalo linaweza Fanya watu wawasikilize.

Anasema Arsenal itakuwa the worst team kushinda EPL wakati Manchester United iliwahi shinda league kwa point 75 pekee
 
Scholes na wenzake huwa wanasumbiliwa tu na wivu, usidhani Wana lolote la maana ambalo linaweza Fanya watu wawasikilize.

Anasema Arsenal itakuwa the worst team kushinda EPL wakati Manchester United iliwahi shinda league kwa point 75 pekee
Yaani nyie ni mazwazwa!! Kwa hiyo Scholes ana wivu na Arsenal??! Embu tupe sababu moja tu.

Mlianza na Unbeaten, mkaja Quadruple, mkaja treble ......bado tu amshtuki kwamba mtatoka mikono mitupu nyie ni mikondoo.
 
White kukosa game time ni tatizo lililoonekana dhidi ya Soton na leo hapa dhidi ya CP liko wazi
 
White kukosa game time ni tatizo lililoonekana dhidi ya Soton na leo hapa dhidi ya CP liko wazi
Arteta akiamua kukusahau anakusahau kweli.. sijui kwanini anamfanyia hivi ben,, kuna game unaona hapa anatakiwa aingie white, anafanya yake.
White na jesus sidhani km wataendelea na arsenal
 
Ndio mmeshinda, lakini mechi ilikuwa very boring. Raya kawaokoa. Magoli yenu ya dakika za lala salama. Blaaah blaaah.

Niggaaaaz!!!! Real Madrid na Munich, walikuwa uwanjani and yet mmechagua kutuangalia sisi?
 
Hapa ndo utaelewa why DSTV, Compact package, 68,000 tzs, unawaona Madrid vs Munich

Ila, Arsenal na Sporting, Compact Plus, 118,000 tzs
Screenshot_20260408_100122_Instagram.jpg
Screenshot_20260408_100129_Instagram.jpg
 
Lilipigwa boli, au mateke tu?
Game ilikua shit.

Odegaard hayuko sawa, sense ya kupasi vizuri kaipoteza siku hizi.

Goli dhidi ya Soton lilitokana na pasi yake kwa adui.

Jana Sporting CP waligongesha mtambaa panya ulitokana na pasi yake kwa adui.

Yaani unamuona uwanja mzima ila hana impact. Timu haina fluidity kwenye movement, tupo slow, hakuna shot takers.

Ukiangalia takwimu za mechi na matokeo utaweza sema ilikua fresh ila hapana na ninaamini imetokana na sisi kucheza na ile attitude ya kusema tupo ugenini. Shida ni kwamba hata Emirates hua tunakua kama tulivyokua jana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom