Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Players who have withdrawn from international duties so far

Pietro Hincapie
Bukayo Saka
Leandro Trossard
Martin Ødegaard
Declan Rice
Noni Madueke
Martin Zubimendi
Eberechi Eze
Jurien Timber

Arteta & his boys must be cooking something🤔
 
Hizo ni figisu tu za board ya Arsenal zikiongozwa na Arteta mwenyewe.

Wacheza hawataki kupoteza nguvu kwa mechi zizizo na umuhimu,wameamua kurudi kambini kujiandaa kuchukua ubingwa.
Sahihi , lazima kuna jambo behind....wachezaji zaidi ya 5 wote, wamejitoa kwenye national team
 
Gabriel M, na Saliba hivi nao wana discomfort na wamejitoa national team zao ? Mnachekesha sana !!!!
 
Mie nilitoka mapema, huko mbele sijatizama, halftime tu nikaondoka nikijua hapa arsenal hatoboi.
Bora wewe akili kubwa. Kuna mjinga mmoja wa arse8 hapa anasema "...lakini mpira tumewachezea sana, yale magoli wametuvizia tu"
 
Worst performance.

Haiingii akilini kwamba Arsenal ili ashinde mechi ya FA dhidi ya Soton aliyeshuka daraja inabidi awe na kikosi kinachotarajiwa kushindana UCL.

Wachezaji kama vile wamekutana leo wazenge kabisa. Mi sijanunua TV ili nije kuangalia usenge kama huu
 
Nyie KENGE, MBWA mpoo..pambaf sana.
20260404_235416.jpg
 
Worst performance.

Haiingii akilini kwamba Arsenal ili ashinde mechi ya FA dhidi ya Soton aliyeshuka daraja inabidi awe na kikosi kinachotarajiwa kushindana UCL.

Wachezaji kama vile wamekutana leo wazenge kabisa. Mi sijanunua TV ili nije kuangalia usenge kama huu
😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom