"MNADHANI POINT NI MATAKO YENU"Hii game tunachukua points zetu tatu
Hatimaye Kenge amejulikanaPenalty huko kengele wewe
Mmeona?Ngoja Tuone.
Kuna ile picha jamaa wa arsenal Rice anaruka juu ule muda wa kuingia uwanjani mwenye nayo ailete..
Hawa mijusi wio wa kuwaonea huruma, wapigwe tuuHahahaha bwashee tia vitu mbavuni , hawa kenge wakibamizwa lazima na mimi nitie ngama 😅😅😅
Vumilieni 😂Kuna mechi moja tulicheza hovyo tukapoteza.
Arteta akasema analiona hilo na wanalifanyia kazi ndani kwa ndani.
Wachezaji wakasema na wenyewe wameona wanavyokosea hivyo wamewekana chini kuambiana ukweli.
Hakuna mabadiliko ta chochote kile isipokua ni mwendelezo wa upuuzi ule ule
Jamaa ana kishundu 😂
Rice au ben whiteJamaa ana kishundu 😂
Huyu sio mchele kweli huyu?
HahahahaNyie walevi wa London mlikuwa mnamaanisha Quadruple ya runner up.
Usiseme rice, Sema mchele 😂Rice au ben white
🥰🥰🥰Aterta sio kocha.