Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unataka atimuliwe wewe kama nani kiongozi?
Sijui ana nia gani hyu na sisi....Manunu tangu Babu Fergie aondoke wameshakuwa na makocha kama 7 hivi mpk sasa yaani ni timuatimua tu ...mbaya sasa Katika wote hao waliokosea kumtimua ni Solskjaer...yule jamaa alishawajulia wale wachezaji....sasa hyu Amorim anawaambia kabisa jamani nitimueni ila hawataki wako naye tu...acha awashushe daraja😀😀
 
Hii Burnley naona ndio timu kuliko zote kwenye ligi, tukikutana nao tukipata ushindi chini ya goli 5 utakua ni udhaifu
 
Ninyi vibakà kesho mbamendwe 5-0 na kuku kishingo aka liverfools ndio akili zitawarudi na kikundi Chenu cha wanenguaji hicho .Nawakumbusha tu London is blue na tunaongoza ligi
 
1756124919747.jpg

Amueni wenyewe kbs badae kishingo atumie mate au kilainishi.
 
Hutamuona mpaka tufungwe.
Pia ni faraja sana kukuona huku mkuu, bwana Castr.
Eze sasa amewasili na kuna bwana mdogo wakuitwa Hincapié anakuja kusidia overloading ya Left Wing ili Eze awe anaingia kwa ndani. Aiseee...the league ain't ready...
Yeah nilipata notification ya Eze kuja Emirates nikasema hapa tuna mtu. Tangu nianze kushabikia Arsenal ni mara ya kwanza naona tunapata kila mchezaji ambaye tulipeleka ofa.

Kuna kipindi tulihusishwa na Higuain mwisho wa dirisha tukaibuka na Yaya Sanogo. Hili dirisha linatia faraja kwamba watu wapo serious.
 
Sanogo na Chamack dah....
 
Hutamuona mpaka tufungwe.
Pia ni faraja sana kukuona huku mkuu, bwana Castr.
Eze sasa amewasili na kuna bwana mdogo wakuitwa Hincapié anakuja kusidia overloading ya Left Wing ili Eze awe anaingia kwa ndani. Aiseee...the league ain't ready...
Hincapie ni bonge la beki, aki zoea ligi basi tume maliza.
 
Yeah nilipata notification ya Eze kuja Emirates nikasema hapa tuna mtu. Tangu nianze kushabikia Arsenal ni mara ya kwanza naona tunapata kila mchezaji ambaye tulipeleka ofa.

Kuna kipindi tulihusishwa na Higuain mwisho wa dirisha tukaibuka na Yaya Sanogo. Hili dirisha linatia faraja kwamba watu wapo serious.
Kuna yule mpuuzi Chesko ngongoti alituzungusha miaka miwili halafu akaenda unyumbuni baada ya sisi kuchukua Jokeri. Nadhani na Jamie Gittens ameenda Chelkenge na Isak anataka kwenda LiVARKuku mpaka amegoma kufanya mazoezi kwa wale mijuisi ila kwa asilimia kubwa ulimwengu wa soka umekubali project yetu.
Hata Mosquera na Hincapie wanakuja japo wanajua tuna Saliba na Gabriel. Chesko eti aliogopa kuja kupambania namba na Havertz 😀
 
Haitwi chesko, yule ni dada sesi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom