🤣🤣arsenal ni kama kenge TU ni limdudu likubwa lakini halina maajabu yotote Yale lLiverpunda amemuanzisha Sobozlai beki namba tatu [emoji2][emoji2][emoji2]
Arsenal hii inatisha mno
Kwanini Arsenal afungwe tu hakuna namnaHii mechi iishe droo tu, gap la alama lisiendelee kuwa kubwa
Uchawi upo duuDakika ya 4 saliba injury, au machizi nyumbu, kenge mnaturoga?
Arsenal kama tupo nyumbani hiviMlioko kwenye runinga tunapeleka au tunapelekewa moto?
Subiria ushindi mkuu.. Msimu huu hatupotezi gameMlioko kwenye runinga tunapeleka au tunapelekewa moto?