Si second yellow?Merino kaamua kumaliza msimu wake hapa.
Aah yes..Si second yellow?
Amekua hivi hata akiwa fitOdegaard alikuwa na chance ya kutushindia hii game ila huyu jamaa msimu huu amekuwa hovyo. Acha tu msimu uishe akafanye surgery yake.
Reshape miaka 7… uzuriii wa false hopes huwa haziiishi mpaka mnazeeka .Lot of work needed to reshape our team. Mwishoni mwa msimu pumzi inakata
Kaka uko wapi hii fainali inabidi ichezwe leo lakini hauonekani refa anakusubiri ww tu fainali ianze 😂😂Aje psg nusu fainali, aston villa anakuaga mchawi mchawi sana
Fainali namtaka barca. Arsenal kiboko ya mabishoo
Fainali ya emirates mtakutana nao si ligi ya mabingwa, nyinyi si mabingwaHawa Barcelona wanapiga mpira aisee. Natamani tukutane nao fainali ikiwezekana ili tujipime nao. Tukiwapiga tunabeba kombe na wakitupiga tunakuwa tumepata somo zuri na tumaini ni tutaboresha kikosi kwa ajili ya kupambana na upinzani wa level ile, kwa msimu ujao.
PGMOL na FA kwa pamoja tunawatakia arsenal fans wote ulimwenguni final njema by senderoes 😂Wengi bado hawajaelewa kuwa huwa tukiwa kwenye form na tukiamka vizuri tukaamua kumcharaza mtu, hakuna timu tusiyoweza kuipiga.
Wengi pia wanasahau kuwa PGMOL na FA na wabaya wetu wengine wa hivyo hawako UCL. Wanasahau kuwa tusingekuwa tunadhulumiwa na hawa wahuni, tungekuwa sambamba na Livakuku kwenye EPL, licha ya majeruhi wa kutosha kwenye timu yetu.
😂😂😂😂😂😂😂😂 aaaah leo ngoja nipitie hizi hopes za arsenal.With due respect.
Naheshimu saana mpira ila naheshimu zaidi maajabu ya mpira.
Kabla ya kuwazia nusu finally nadhani tunapaswa kwanza
1. Kuheshimu dakika 90 zijazo maana zilizopita zilitupa goli tatu tukiwa nyumbani na tunaenda 90 nyingine Madrid akiwa mwenyeji.anything can happen(god forbid)
2.kuheshimu ukubwa wa Madrid katika mashindano haya na historia Yao ya kipekee hasa pale Kila mtu anapowaona wa kawaida(god forbid)
3.Kuheshimu individual brilliance ya baadhi ya wachezaji wa real Madrid ambao ni world class na very experienced kuhandle pressure
4.kuheshimu experience na uwezo wa Carlo ancellot.moja kati ya watu Wana uwezo wa kupata kilicho Bora kwa mchezaji basi ni don carlo.jamaa ana uwezo mkubwa wa kumshika mchezaji masikio na akawa robot
5.kuheshimu home ground na bernabeu atmosphere.
Mwisho na sio kwa kumaliza sikumbuki ni lini niliwahi PATA tukio la furaha ya kimichezo kama matokeo ya juzi tulipompiga Madrid.ilikuwa ni furaha ya ajabu mnoo.kwa mwaka 2025 it was one of my very very happiest moment.naamini hatutaishia hapa ila pia tuwaheshimu wapinzani walioko mbele yetu
😂😂😂😂😂😂😂😂 henry ni wewe huyu kweli ama??? Itabidi mcheze na wigan fainali ya false hopes trophyItakuwa haujatusoma vizuri au hujatuelewa mkuu.
Sisi hatumuwazi Madrid hapa robo fainali wala PSG nusu fainali.
Tunachokiwaza sisi ni fainali tutacheza na Barcelona ama Inter, na ni yupi tunamtamani zaidi kati yao.
Enzi hizo tulikuwa wamoto bhanaa. Yaani ubingwa ulikuwa nje nje yaani.😂😂😂😂😂😂😂😂 henry ni wewe huyu kweli ama??? Itabidi mcheze na wigan fainali ya false hopes trophy